Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Tatizo wabongo watapigania na kung'oana meno. Ustaarabu Zero!
Pamefanana na Vikindu TC, halafu kama siku ya wali na nyama vile.
sidhani kama anahitaji likes kwa sababu alisubiri mpaka siku ya ku expire ndio akatoa nje.
Kachagua pa kufanyia takrima, angeifanya Dar angejibu kesi ya mauwaji.
Tatizo wabongo watapigania na kung'oana meno. Ustaarabu Zero!