How long can you last without sex?

nilikaa kwa 27 years bila ya kugusa wala kuchungulia uvungu wa kike halafu huo moto nilioanza nao haukuwa haba kiasi nilikuwa najihurumia kwa ubazazi uliokithiri, imagine si chini ya three gals kwa siku. ila baada ya kuoa nimeamua kumfanyia ubazazi mke wangu pekee na nimepunguza speed.

wife amejifungua mtoto kwa upasuaji five months ago na niliacha kumgusa tangu mimba ikiwa na miezi 4 piga hesabu how long man can last without peehole.
ok, nimekusoma............ulisap sio?
 
ukiwaza unaitaka itabidi upate maana mawazo kuyazui ni mpaka nafsi iamue,but for me I can stay longer s long as nina mambo meeeeeeengi ya kufanya n pia sijabariki hilo tendo lenyewe,but likiwa limebarikiwa mmh dia I shoul;d get it as much as posible n as long has haiumwi.

Duh hapo!!!!
 
Hiii kitu tunaipenda sana,
kwa wenye ndoa na wasio na ndoa.
Je wewe unahimili kukaa muda gani bila kupata ile kitu roho inapenda?

as long as am supposed to last without it!!!
 
kwa wote ambao hamkunielewa, nimesema for as long as neccessary nikimaanisha kuwa, mimi kama mke wa mtu, naweza kukaa bila hiyo kitu kwa muda wote ambao my dia hubby hayupo karibu na mimi, be it i week, one month, one year and even ten to 20 years. Na pia kwa wakati wote ambao nadhani haiwezekani kufanya hivyo kwa sababu ambazo haziwezi kuzuilika. sasa mmeelewa? hivi walimu wenu walikuwa wanalipwa kiasi gani kwa kufundisha watotro wazito hivi?
 
ukiwa unasabstantiate hivi UNAELEWEKA!:D:D
nitakuuliza swali jingine shortly,ngoja nilifanyie editing
 
eeeeeeeeh msanii am sore nilijua ni uncle buji ndo kasema kaoa thats y nikawa puzzed,hongera sana
nimeoa three years ago. ulikuwa umeshazaliwa?
Ukiamua kuuamrisha mwili wako utakutii ukimaanisha.
 
......... sasa mmeelewa? hivi walimu wenu walikuwa wanalipwa kiasi gani kwa kufundisha watotro wazito hivi?
hahahaha wazimu kweli wewe.

Sasa ukiambiwa 5 weeks? je mumeo akikuacha akasafiri kwa a year then utavumilia for 5 weeks and baada ya hapo utakitembeza kinaniliu?
 
na wewe x-pin?
Aaah maswali gani haya? Kila Mama Matesha anapokuwa available na anahitaji huduma yangu anapewa haki yake. Kama asipokuwa availabo kwa siku mbili, Mungu nilishamwomba anisamehe dhambi ntakayoitenda.

biggy huyo hapo juu mbona hujakomenti?????????????????????????????????????
Tayari Mamushka!
 
as long as it is neccesary

as long as am supposed to last without it!!!

haya majibu hayapo clear,kwa sababu:

KITAALAMU THERE IS A LIMIT TO EVERYTHING!mrusha mada anataka kujua zile MAXIMUM BENDING STRESSES/TENSIONS NA MOMENTS BEYOND WHICH UVUMILIVU WA MTU MMOJA MMOJA HAUTAWEZEKANA!

naomba sana TENA SANA tuwe wakweli kwenye hili!sikatai watu wanaweza kuvumilia,lakini KUNA LIMIT BEYOND WHICH YOU CANNOT VUMILIA AGAIN

ndo maana nimempenda charity alivyosema ten years
 
mimi nahimili masaa tisa tu bila ngono , tena masaa hayo ni yale ya katikati ya wiki, weekend yanashuka zaidi,, aah ile kitu waacha kabisa.
 
Aaah maswali gani haya? Kila Mama Matesha anapokuwa available na anahitaji huduma yangu anapewa haki yake. Kama asipokuwa availabo kwa siku mbili, Mungu nilishamwomba anisamehe dhambi ntakayoitenda.

Tayari Mamushka!
nimeipenda hiyo...!UMESET LIMITS AMBAZO NI CLEAR KABISA
 
mimi nahimili masaa tisa tu bila ngono , tena masaa hayo ni yale ya katikati ya wiki, weekend yanashuka zaidi,, aah ile kitu waacha kabisa.
NIMEIPENDA SANA HIYO GREAT THINKER!tatizo watu wanataka kujustfy uongo...!ILE KITU HATARI
 
Back
Top Bottom