How I became a billionaire in 10 years | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How I became a billionaire in 10 years

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BrainPower, May 13, 2010.

 1. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 2. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ni kweli lakini mazingira ya nchi yetu nayo yanahitaji kuboreshwa juu ya uwezeshaji na uwezeshwaji wa wazawa nikiwa na maana wananchi badala ya kuwashindanisha na makamopuni makubwa... Ebu chukuia mfano huu: ABSA ndo walioinunua NBC na kila kitu kinafanyika Afrika kusini.. na kila huduma zinazohusiana na uendeshaji aidha zinatolewa kwa idhini ya ABSA au na ABSA makao makuu moja kwa moja..(Rejea suala la wizi wa mabilioni uliofanywa kw akutumia mtandao.. ilibidi wenyewe waje kuthibitisha...)kutoka kwa makampuni iliyoyaidhinisha.. MATOKEO??? Ukiondoa ajira ya watanzania lakini teknolojia nzima inahodhiwa na mwenye hisa yaani ABSA..unadhani huyu mbunifu angeweza kuuza software yake ya banking au bidhaa nyingine alizonazo???..
  NI CHANGAMOTO NZURI.... INAWEZEKANA...SERIKALI NA WANANCHI WATIMIZE WAJIBU WAO.... Ni safari ndefu....
  Nina ndoto kwamba ubinafshaji na utandawazi ni majibu yanayochukua muda mrefu katika kuwapa uwezo wananchi wazawa!!!

  KILA LA HERI KWETU SOTE!!!!
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Mnapoongelea "bilionea" specify na currency basi, ama sivyo Wazimbabwe wote karibu watajiita mabilionea, na wengine ma trilionaire.

  Sheesh, mi nikafikiri tuna bilionea genuine in USD, kumbe hela za Kikenya?
   
 4. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukweli, nami ilinichanganya pia kidogo. Lakini nadhani hili ni swala la uhandishi (pamoja na culture ya mwandishi). Why i say that ? Mwandishi ni Mkenya, na wakenya wanathamini KSH kuliko USD. Kwahiyo mtu akisema "billion au million" kila mtu anajua ni KSH by Default.

  note: 1.7 billion Ksh ~ 21,739,131.28 USD ~ 30Billion Tsh.
  Now this might not sound much but i think for normal IT Tech / worker in TZ ni achievement.

  Anyways, Mathumuni ya post ni kuwapa I.T gurus wetu nchini changamoto, i hope you enjoyed it.

  Asante
   
 5. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #5
  May 14, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli ulichosema kinachangia, Nimetafiti kidogo kuhusu huyu jamaa na
  a. Naye anacompete na imported softwares kutoka S.A , India n.k lakini bado anakomaa nao...
  b. Amesha supply software kwa Mabenki Manne (4) hapa nchini. (Hii ndio iliniumiza roho kidogo, sio kwamba ni vibaya yeye ku supply, Ila bali je sisi wazawa hatuwezi ?)

  Sijui anafanyaje lakini he is doing something right. Something sisi hatufanyi ? Ametuzidi kete hapo.
   
Loading...