How GOD is smart

Kufa mwili ndio nini? Sijawahi kuelewa hili suala la kufa mwili.
 
akili zake hazichunguziki huyu Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nadharia ya nyoka na tunda la mti wa katikati si sawa na nyoka ni tupu ya kiume halafu tunda la mti wa katikati ni tupu ya kike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mungu sio ndio alioleta gharika na kuuwa watu duniani enzi za nuhu?

Sasa anakuaje smart kama anauwa watu kama Alshabab?
1.Unadhani Ni kwa Nini aliileta hiyo gharika?
2.Je unaujua uovu wa wanadamu kipindi hicho ulikuwa wa kiwango gani?
3.Je unajua MUNGU MWENYEZI aliwapa mda gani haoWatu kujirudi kabla ya kuleta hiyo adhabu?
MUNGU MWENYEZI HAKUPI ADHABU BILA KUKUPA ONYO NA MDA WA KUJIRUDI NA KUTUBU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Mungu huyu mnaemzungumzia zaidi ya uwongo mlioukuta mkauamini?

KUNA YEYOTE KATI YENU AMEWAHI KUMWONA?
.............His spiritual qualities kept pace with his personal charm, for God had fashioned his soul with particular care. She is the image of God, and as God fills the world, so the soul fills the human body; as God sees all things, and is seen by none, so the soul sees, but cannot be seen; as God guides the world, so the soul guides the body; as God in His holiness is pure, so is the soul; and as God dwells in secret, so doth the soul.(COPIED FROM THE LEGEND OF THE JEWS).

Kwa maelezo hayo MUNGU YUPO SIRINI KAMA VILE ROHO YAKO ILIVYO SIRINI NA IMEJAZA MWILI WAKO.

Ni kuulize swali mkuu,je unaweza kumwonyesha MTU software ya Simu,computer au calculator?
Je hizo software zipo au ni hadithi tu za kutunga kama ambavyo unaita habari za MUNGU MWENYEZI kuwa ni za kutunga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Labda nikuulize swali dogo nani aliyeleta uovu duniani?
 
Ndo maana dhana nzima ya maombi ikaja, Kwa sababu ukitaka kitu lazima umuombe Mungu Kwa sababu ana uhakika unataka jambo fulani au hulitaki, Kwa sababu kabla ya mwanadamu kuasi kulikua na fellowship na sio maombi.
Well, vyote ulivyoandika hapo juu ni very illogical, since natumia logic nichangiapo mijadala(bila shaka kila mtu anapaswa kutumia pia), kipingele hiki pekee ndicho angalau kinaweza fanyiwa majadiliano, ili niweze kuendelea kuchangia, naomba unijibu swali nitakalo kuuliza ili niweze kuchanganua kama kipengele hiki nacho kina at least chembe za logic ama nachenywe ni pumba tu. Swali langu ni, tangua niwe na akili zangu timamu, sijawahi kumuomba mungu anisaidie kitu chochote kile, lakini nina mafanikio makubwa kuliko wakeshao wakimuomba(moja wapo ni bado napumua{natumia point yenu kuu ya kuwa mungu ndio mgawaji wa pumzi}), kwanini mungu ni mnafiki kiasi kwamba anawanyima wafuasi wake waaminifu na watiifu pumzi na mafanikio mengine, ila ananipa mimi nisiye hata na muda nae?
 
Alfu lela ulela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana dhana nzima ya maombi ikaja, Kwa sababu ukitaka kitu lazima umuombe Mungu Kwa sababu ana uhakika unataka jambo fulani au hulitaki, Kwa sababu kabla ya mwanadamu kuasi kulikua na fellowship na sio maombi.
Kama Mungu havunji sheria zake yanini sasa tumuombe atupe utajiri, afya, furaha iwapo alitunga tusiwe navyo?.. Unaposema ana uhakika nataka jambo fulani then iweje ichukue miezi, miaka kunipa, si anipe tuu?..
Kwanini Shetani hakumdanganya Adam?.
TOFAUTI YA FELLOWSHIP NA MAOMBI NI IPI?..
 
Hivyo vilikuwa kwenyd mti ea uzima ila adamu akachagua mti wa uzima na ubaya ambayo struggle is for everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…