Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
I had it all. Looks, money and charm. I was the kind of girl who walked into a room, be it a club or wherever and lit it up. Yes it was me. Parties I threw were never dull. Hahahaa. Ee bwana ilikuwa balaa. But kama wanavyosemaga wenyewe kila kitu kina mwisho wake. Mimi sasa hivi nimeacha bangi na pombe, namlea mwanangu na nipo kwenye ndoa. Ila sasa, athari za kukata mayi na kuvuta bangi ninazoziona sasa hivi ni kama hizi;
1. Upweke- hii hali huwa inanihuzunisha. Huwa najikuta for entertainment purposes I live in the past. Hii ni kwa sababu marafiki wengi walikuwa wa ulevini... Na kwa vile status yangu imebadilika its obvious that that was bound to change too. Tangu nimejifungua I feel so much better and my son's is my sunshine for these dull days..
2. Worry- huwa najikuta sina amani kabisa nikiwa karibu na alcohol. To the extent that sometimes huwa nakwaruzana na Mr. I worry too much kwamba nitavutiwa na harufu and nitakunywa tena and matokeo yake my little angel will suffer. Huwa nakosa raha mpaka sometime usingizi hauji. I drank alot. Lots of alcohol for a girl. Damn.
3. Kucheka weeee kama chizi- huwa inatokea tu nikakumbuka incident flani nitacheka mpaka nilie. Hii naona bwana itanifikisha pabaya kwa sababu ipo siku nilitupagwa selo nikacheka weee nikikumbuka selo nilotupwa siku nyingi kabla baada ya kubambwa na bange. Matokeo yake hela ilinitoka kishenzi sababu waliniona nina dharau. Maskini.
4. Nimenolewa na dunia.
hii hapa bwana inamaanisha kwamba I have been there, and done it all sina nisilojua so hamna uongo nisoufichua. I wish ujuaji ungepungua kidogo, kama kafala flani ila nisiwe ---- mazima.
5. So bwana nikiachiaga diaries zangu huwa ni kupunguza negative energy that I dont need anymore ili hii memory card huku kichwani ibaki na nafasi ya vitu vya msingi kama malezi na ndoa. Hahahahahahahhahaah. Oh God.