BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Watu wengine kama wewe wanabadilika miaka inavyoenda. Vizuri unajitambua na umeachana na bhange kabisa, I think kunywa occasionally siyo mbaya sema uwe na kiasi...!!
Karucee my dear umerusha tena kitu cha down lane memory...lolz
Siku zote waswahili husema 'nguvu kitu cha kwisha' na 'muda unaongea'...thank God umeyaacha mapema.
Kwa watoto wa kiume wanapitia mengi sana kiasi kwamba wadada wakiyapitia haya huacha 'kovu' kubwa sana kwao..
wasiwasi wangu ni kitu cha 'ndumu'...i guess mbele ya safari waweza omba tena puff!!!
since Jan 2012. Kongosho I could not sleep for a single night without drinking. Na sio one or two drinks, no. Sikuwa na hiyo control. Ni kunywa kabisaaa. Ila namshukuru Mungu sijawahi ku blackout or lose my mind.