Nimesoma hiki kitabu, nakubariana na Rodney katika mambo mengi lakini pia yapo mengi nisiyo kubariana naye[/QUOTE]
Yepi hayo mkuu.
Nimesoma hiki kitabu, nakubariana na Rodney katika mambo mengi lakini pia yapo mengi nisiyo kubariana naye[/QUOTE]
Yepi hayo mkuu.
Ya kwamba matatizo yetu yote tuliyo nayo yemetoka na Europe
Nimesoma hiki kitabu, nakubariana na Rodney katika mambo mengi lakini pia yapo mengi nisiyo kubariana naye
Walter Rodney, Gora Ibrahim, Shivji ni majembe ya ukweli UD miaka ya mwanzo ya 70. Niliwashuhudia live hawa walimu wangu waukweli. Kitabu hicho nadhani ni marufuku Marekani na ndicho kilisababisha kuuwawa kwake.
Nakubaliana na wachangiaji wengi on the relevance of Rodney's book. What he presented was relevant wakati tulipopata uhuru, lakini mimi sioni umuhimu wake sasa miaka 51 baada ya uhuru. Tukitizama nchi kama India na Korea ya kusini miaka 50 iliyopita walikuwa na hali kama ya kwetu, lakini ukiangalia leo hii wapo mbali sana, sasa wamekuwa wafadhili wetu wakubwa. My opinion is we are lacking visionary leaders who can change economic landscape of this noble country of ours.
Walter Rodney, Gora Ibrahim, Shivji ni majembe ya ukweli UD miaka ya mwanzo ya 70. Niliwashuhudia live hawa walimu wangu waukweli. Kitabu hicho nadhani ni marufuku Marekani na ndicho kilisababisha kuuwawa kwake.
Kwa nini unadhani hicho kitabu ni marufuku Marekani of all places?
Walter Rodney, Gora Ibrahim, Shivji ni majembe ya ukweli UD miaka ya mwanzo ya 70. Niliwashuhudia live hawa walimu wangu waukweli. Kitabu hicho nadhani ni marufuku Marekani na ndicho kilisababisha kuuwawa kwake.
Ni kweli kuwa matatizo yetu ya leo hayakusababishwa na europe kwa vile tumejitawala kwa muda mrefu kuliko ule tuliotawaliwa na europe- ukiondoa muda wa vita za dunia. Hata hivyo, ni lazima utambue kuwa kitabu hicho kiliandikwa mwanzoni mwa miaka ya sabini ambapo matatizo yote yaliyokuwapo wakati huo yalikuwa ni matokeo ya kutawaliwa na Europe kwa vile nchi nyingi za Afrika ndiyo tu zilikuwa zimepata Uhuru. Rodney ni mojawapo ya vichwa vilivyokuwa UDSM wakati huo, leo hii kuna akina Dakta uchwara wanaokuja hapa na polls uchwara za kuonyesha eti serikali ya CCM inafanya vizuri badala ya kuchambua mambo ya msingi!.Ya kwamba matatizo yetu yote tuliyo nayo yemetoka na Europe
Kama uwepo wa wakoloni (wazungu) umechangia uduni wa maendeleo ya waafrika.
Mbona Ni miaka takriban zaidi ya hamsini 50 tangu wazungu wameondoka Lakina hakuna jipya waafrika walicho kifanya katika mendeleo yao wenyewe.Mashule na Vitega uchumi bado ni vilevile walivyoacha wazungu na vingine vimekufa.
Badala yake mnawaita tena kwa kutumia lugha nyingine ya Uwekezaji, Gesi, mafuta na madini bado hamuwezi kuchimba wenyewe kwa miaka 50 sasa TZ bado haina wataalamu na technolojia to explore those resources. na bado bajeti nyingi za waafrika zinawategemea tena hahao wazungu.
Rodney ameandika kitabu kabla makoloni ya Asia ikiwemo,India,Malasia,Indonesia,Honkong etc hayajapiga hatua kubwa za kimaendeleo kama iilivo hivi sasa.. Maendeleo ya nchi hizi ni ushahidi tosha kwamba tatizo siyo ukoloni mamboleo bali ni uwongozi mbovu tena mbovu haswa Afrika.Mimi pia nilikisoma hicho kitabu muda kidogo. Ila kwa hali ninayoiona Africa leo, nachelea kukubali sana maoni ya huyu bwana. Inawezekana kweli Europe walichangia na wanaendelea kuchangia, ila na sisi nao bwana.. dah!