How DR Congo conflict could ignite regional war(must read please) see how Tz is involved.

How DR Congo conflict could ignite regional war(must read please) see how Tz is involved.

Haiwezekani afunge safari yote hiyo kuja Kigali, na Kagame asijue. Sitashangaa kama yeye ndo kamruhusu ili Dunia ijue ukweli juu ya vita vya DRC

Huu ni mchezo wa kuigiza ulio chongwa na Utawala wa Rwanda kutaka kuadaa Dunia, hivi inaingia akilini kwamba mtu wanted dead or alive anaweza kuingia mjini Kigari bila ya kujulikana? mimi naona jamaa huyu kuna kitu ametumwa ili a-pre empty akiojiwa ICC i.e kuwakingia kufua watu fulani na kusingizia wengine; hasa hasa atataka kuonyesha kwamba vita vya Congo haviwezi kwisha kwa kutumia majeshi ya nje specifically kutoka nchi za SADC - mission yake nikutaka ku-instill FEAR kwa kusema mambo ya kutunga tu ili wapate kisingizio cha kuendelea kuikalia Congo.

Alafu Wamerikani walivyo wa ajabu wala hilo hawajarigundua wanafikili jamaa kazungumza na Mungu na kupewa amri ya kujisalimisha, mtakuja kuona kadiri siku zinavyo kwenda ndio ukweli utadhihilika kwamba kisanga kizima na michezo ya kuigiza tu.

Hata huyu aliye andika article hii ni mtu wa usalama wa Rwanda anaandika vitu ambavyo viko incoherent kwa kuwa alikuwa ajajipanga vizuri azungumze nini ahache nini!! Akili zake zote ziko geared kujaribu kuonyesha kwamba Zuma hafahi, Kikwete hafahi majeshi yao yana walakini, in short yuko obsessed na nchi hizi mbili za SADC kutokana na uwezo wao kijeshi na msimamo husiyo yumba, hivyo anafikili akijaribu kutisha watu eti mzozo wa Congo DRC utakuwa a mini-world war kwenye Region basi hilo tu litawakatisha tamaa wahusika, binafsi namuona ni scare monger tu ambaye amekwisha ng'amua kwamba mchezo yao inakaribia ukingoni. Hata hiki kisa cha wanajeshi 13 wa Africa Kusini kuuwawa huko Africa ya kati kinatia shaka sana, kwa nini kitokeee wakati UN imetoa kibali cha majeshi ya Tanzania na Africa Kusini kwenda DRC, kumbuka Africa ya kati na DRC zimekaribiana - je hii ilikuwa ni bahati mbaya au ni tactics za kujaribu kutisha Africa Kusini, I hope Zuma atapeleleza kwa kina na kujua the brains behind ya unyama huo.
 
Mwananchi ya leo ina heading 'Tanzania kupigana vita Congo DRC'
unabii wa mleta huu uzi unaelekea kutimia,...time will tell. Unafeli halafu wakati unalaumwa kwa kufeli (jk na tz kuubwa) mwenzio (rwanda under kagame kiinchi kidogo) inaonesha kufanikiwa sana. Soo ttashuhudia Daudi na Goliath.
 
unaumwa ugonjwa unaoitwa mental active inertia kwa kimombo kwa kiswahili sijui lugha yetu bado changa, vita ni ari ya askari ulio nao pili zana na uwezo wa kuzitumia, usifikiri hii ni vita ya idd amin ambapo warusi walitusaidia kuendesha mig 29, usijaribu kupima vita kwa macho na mawazo, inahitaji deep analysis we mburula.
akili yako ni ndogo kama ya kagame mwenyewe, vita si ari ya askari, vita ni kuwa trained vizuri, kuwa na zana za kutosha na kuwa na techniques bora.....tz pia tunayo advantage kubwa kwa ukubwa nchi yetu, watu watakaopata shida ni wale wa mpakani tu, sehemu kubwa ya tz itakuwa inaendelea kufanya biashara na kazi, ila rwanda wakivamiwa nchi yote inakuwa frozen na wanakuwa hawazalishi...naongelea si suala la kwenda congo, naongelea suala la kupigana na rwanda....hakuna daudi na goliath hapo, ni goliath na panzi.
 
akili yako ni ndogo kama ya kagame mwenyewe, vita si ari ya askari, vita ni kuwa trained vizuri, kuwa na zana za kutosha na kuwa na techniques bora.....tz pia tunayo advantage kubwa kwa ukubwa nchi yetu, watu watakaopata shida ni wale wa mpakani tu, sehemu kubwa ya tz itakuwa inaendelea kufanya biashara na kazi, ila rwanda wakivamiwa nchi yote inakuwa frozen na wanakuwa hawazalishi...naongelea si suala la kwenda congo, naongelea suala la kupigana na rwanda....hakuna daudi na goliath hapo, ni goliath na panzi.


unajua ukubwa wa nchi ya ujerumani? unajua wajerumani walitandika dunia nzima ikabaki mkia wakakosea timing wakaingia urusi wakati wa baridi ndo ikawa pona ya dunia, we ni famba hujui vita ni nini?
 
Hivi Kikwete anapeleka majeshi Congo kwa interest gani na ya nani?

Sometimes huwa nadhani rais wetu atakuja kuolewa na kina Kaizari sababu ya ujinga.

Raisi ndiyemwenye zamana na nchi hii kwa niaba ya wananchi, hivyo anapeleka huko kwa niaba yetu. tatizo wtz hamtaki kukubali kuwa tupo juu na ndiyo maana mnataka rais aite maandamano aseme ndo mseme tulisikia.
 
Raisi ndiyemwenye zamana na nchi hii kwa niaba ya wananchi, hivyo anapeleka huko kwa niaba yetu. tatizo wtz hamtaki kukubali kuwa tupo juu na ndiyo maana mnataka rais aite maandamano aseme ndo mseme tulisikia.

Usinichekeshe rafiki yangu, hivi yule naye ni rais wakusema kwa niaba yetu watz? Jamaa ni kilaza full stop!! Mwache apeleke majeshi huko alafu mtatuambia.

Yeye anafikiri mafuta na gasi ya mtwara ile au ndo wamehaidiwa misaada?

Sisi tunataka kwanza kusafisha uharo iliopokwenye hii serikali ya ccm, sio tena kutuambia habari za kupigana vita congo.
 
one things that is clear is kagame is fueling problem in congo in apparent attempt to create a security buffer against the self made enemies spreading in eastern congo now the international community is putting him between the rock and hard wall he is starting to use propaganda tactic!!! he should just know it wont work his days are numbered!!! he is trying to fool the whole world that eastern congo there is tribal conflict while we all know he is the one who started the whole game of tribal hate since from the records congolese people never had tribal problems at least not to a level that mr kagame is trying us to beleave!!!
 
How do you call the writer of this article an idiot? Am sure you aren't able to compose a well written article like this. Typical tanzanian behaviors of not thinking well before you put your thoughts down.
What military capabilities are you talking about? These people have been fighting in them jungles for years. No way tpdf is going to succeed in this. We should avoid sending our military at all cost to drc. Its so pathetic how leaders just get into war not caring the lives of the people we gonna loose.

NB: Ask yourself why usa is still in afghanistan now, with all there military capabilities...
you meant their?
 
[h=1]Rebels urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC[/h]
m23.jpg
The head of the M23 Congolese rebels, Roger Lumbala, signs documents on February 6, 2013 at a press briefing in Kampala, Uganda. Photo/AFP AFP
The rebel M23 movement has asked Tanzania to scrap plans to contribute troops to the future UN intervention brigade which is designed to fight armed groups in the eastern Democratic Republic of Congo.
The M23 rebels, who deny UN expert claims that neighbouring Rwanda and Uganda support them, "have consistently prevailed over much larger and better equipped forces," the movement's political leader Bertrand Bisimwa warned in a letter to Tanzanian President Jakaya Kikwete dated April 11.
"The same will happen to the Intervention Brigade if your wisdom does not prevail to intervene and stop this dangerous adventure in its tracks," Bisimwa wrote.
"For this reason the M23 invites the parliament and the people of Tanzania to carefully re-consider this situation and prevail upon the Tanzanian Government... not to send the sons and daughters of this noble nation to engage in an absurd war against their Congolese brothers," he said.
The M23 warned Friday that they would retaliate if attacked by the intervention brigade which would be part of the United Nations Organization Stabilization Mission tasked with protecting civilian populations.
On March 28, the UN Security Council unanimously approved the creation of a brigade of more than 2,500 troops with a mandate to conduct "targeted offensive operations" against rebels in eastern DR Congo, a mineral-rich area that has been gripped by conflict for more than two decades.
The new UN force in the east is due to consist of three infantry battalions, an artillery company, a reconnaissance company and "special forces".
The troops are being mustered by South Africa, Malawi and Tanzania.
It marked the first time that UN peacekeepers were given a mandate to conduct offensive operations. Many rebel movements and armed tribal militias are active in the east of the country.
M23, named for a peace deal with the government signed on March 23, 2009, emerged out of an ethnic Tutsi mutiny in the army in April 2012, on the grounds that Kinshasa was not upholding the pact.
The rebels briefly seized the North Kivu provincial capital Goma in November last year.
In a letter dated April 3, the M23 had already urged the South African parliament to not contribute troops to the brigade.
The Congolese foreign minister Raymond Tshibanda said the brigade would be deployed by the end of April, but the United Nations expects it to be operational in several weeks.
Rebels urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC - News - www.theeastafrican.co.ke

 
I think M23 is fearing its own shadow. These countries Tanzania,Malawi and SA are informed well on what is going on in DRC.mind you Tanzania and Malawi are using this opportunity as a study tour for their Lake Malawi Border conflict.Rwanda is using the conflict to rob DRC resources. They fake searching ''Interahamwe'' still hiding in DRC..Ntaganda surrender was a plan to ease the tension Between Rwanda and international community.There is no way you can deny Rwanda direct involvement with M23.They always change people but they are all coming from Kigali:Nkunda,Ntaganda etc.The regional war may be ignited but the Last stop of that war will be Kigali.
 
you are point is great, but the way i see, Tanzania should sit and think twice, before she involves in this kind of fighting because she can cause heritage from her neighbors.
 
da nchi za kiafrika huwa tunapigana vita tu lakini ukiuliza taifa lina interest gani na watagain nn du hutapata majibu mazuri....maana tumeona kama USA wanafanya vurugu zao middle east ili kucontrol supply ya mafuta sa cjui sie tupo wapi aisee.. kwenye hii migogoro tunajiingiza....
 
Ee Yesu mwenye huruma nyingi kirehemu kizazi hiki kinachowaza kutoana roho tu wakati umekipa akili ya kufikiri na lugha ya kuelewana! Kinatumia binadamu kufanya majaribio ya siraha sinazotengenezya si kwa ajili ya kuvindia wanyama bali kuondoa uhai uliouumba Wewe!
 
da nchi za kiafrika huwa tunapigana vita tu lakini ukiuliza taifa lina interest gani na watagain nn du hutapata majibu mazuri....maana tumeona kama USA wanafanya vurugu zao middle east ili kucontrol supply ya mafuta sa cjui sie tupo wapi aisee.. kwenye hii migogoro tunajiingiza....

Ni ujinga tu ndio umetawala akili zetu
 
OMURAGI, hebu jaribu kusoma maandishi yote halafu ndo utoe hoja zako, huyu bwana hajafanya conclusion kwamba Tanzania army watashindwa bali ametaja point nyingi ambazo kutokana na utafiti wake "ANADHANI!!" huenda kukatokea yatakayo tokea, wewe unatakiwa ulete hoja nzito ya kuonyesha au kuvunja hizo hoja zake, sio kukurupuka na kutaja peace keeping mission inayozofanya jeshi la TZ, Kuwa ni kigezo cha kumuita mtu mzushi!! Watanzania mara zote inapotolewa fikra binafsi wanachoweza kufanya kwa uhodari sio kujibu hoja bali kashfa. you disappoint me Omuragi.
 
Sasa hapa ndo umenichanganya kabisa. Toka lini yesu akaumba viumbe wenzake tena. Mbona hujasoma biblia vizuri. Mgalatia unaniaibisha bwana! Ahhh
 
Mwandishi wa habari hizi ni mjinga asiye na elimu. Jeshi la Tanzania limekomboa Comoro juzi juzi hapa yeye anadai hatujaingia kwenye action for more than 30 years. Tanzania imejihusisha na amani ya Sudan, Somalia, Lebanon nk na kote huko Jeshi letu limeingia kwenye action na kufanya vizuri.... Asubiri aone. Habari hii ni ya uzushi tu!!

wewe mwenyewe ndiyo mjinga; ukombozi wa comoro haukutumia hata risasi moja kwa jeshi la tanzania, hivyo sijui ni experience gani tumeipata. somalia majeshi yetu yameshiriki lakini tumeshindwa kuikomboa na mwisho hakuna vita waliyoshiriki wanajeshi wa tanzania sudan zaidi ya kulinda amani na baadhi yao walikuwa jeshi la polisi.Usitukane bila research maana wewe mwenyewe waweza kuwa mjinga.
 
tukienda kupigwa tuwapigwa lakini hiyo ishu ya kupigana na Rwanda siamini!
we are cowards to engage in international conflicts
 
The writer of this article is an idiot who doesn't understand the military capabilities of the Tanzanian Army and the content of his wording indicate he is working for the Rwandan Intelligence Service.

I m wondering too you guys think Tanzania, south Africa with Mozambiq can just go and war M23,

Do you think M23 are alone? You go back to the hsitor of M23 NA MSIONGEEONGEE TU, hamjui vita mnahamu

kuona kuwa Tanzania ina nguvu msijue watakao kufa ni civilian, na uharibifu. J e mnajua THOSE bIG LIONS

Watakuja kutest mashine zao hapa? au congo, DO YOU know where gonna be the fighting pitch?

si unaona hata mjadala mnaiuleta hapa Comoro was a stupid brush, Labda ningee kidogo, Kupigana na M23 NI SAWA NA

kupigana na terrors, anonymity ya wao ni shida kubwa kupigana nao, kama inavyooneka ni wadogo so ni rahisi kuwabrush si kweli
 
Nadhani huyu mwandishi aandike substance not rumors...

Nadhani asizungumzie statements za kisiasa, kama ako na points azungumzie impact ya M23 rebles kwa nchi husika.
We need contents not "wolokoso" "majungu" au uchochezi.

Note: All African leaders' talks are after peace in western DRC not as one could imagined the writer's explanation.

Tuombe/tupiganie amani tuache uchochezi.

I submit
 
Back
Top Bottom