How DR Congo conflict could ignite regional war(must read please) see how Tz is involved.

How DR Congo conflict could ignite regional war(must read please) see how Tz is involved.

Friday, 22 March 2013 07:30 By Andrew M. Mwenda



The likely implications of Ntaganda's flight On Monday March 18, former leader of the Congolese rebel movement CNDP, Gen. Bosco Ntaganda, appeared unexpectedly at the United States embassy in Kigali to hand himself over to the Americans. He was smarting from a military defeat at the hands his erstwhile ally and now rival, Sultan Makenga, who heads the M23 rebel movement in eastern DRC. After walking through Virunga National Park that covers the border areas of Congo, Rwanda and Uganda, he drove to Kigali most likely from Ruhengeri unnoticed by Rwanda’s security forces. Rwandan officials were taken by surprised when they heard from the Americans about Ntaganda’s appearance in their capital seeking extradition to The Hague where he is wanted for war crimes. The previous day, March 17, the ramp of Ntaganda’s defeated army had entered Rwanda seeking refugee alongside their political leader Jean Marie Runiga. Rwanda placed Runiga under house arrest as it prepared to hand over the 700 combatants with him over to the UN as refugees.

Nimeshindwa kuendelea kusoma habari hii maana huyu mwandishi nadhani ndio wale wale jamaa zetu.

Ameshindwa ku make first impression.

Angalia hapo kwenye bold.
 
It seems like M23 imeanza kuogopa ujio wa Tanzania kabla hata hatujapeleka jeshi wanaanza kuparaganyika!
 
Nahisi huyu mwandishi ni mtu wa rwanda anajaribu kuitsha tz,sa na wengineo kuvamia na kuwapa kichapo lakini tz haina haja ya kupeleka jeshi tutumie diplomasia yetu tuwashawishi kenya kutuunga mkono then tufunge mpaka wetu na rwanda na kenya astop rwanda kutumia bandari ya mombasa that is enough kuathiri uchumi wa rwanda na kuwasuffocate kabisa kagame hatatoweza kuendesha nchi bila ya mafuta na bidhaa zingine pia msumbiji anatuunga mkono atabaki na option ya bandari ya SA ambao pia wanatusapot bandari ya angola itabid kupitia drc kitu ambacho kabila nae ataweka ngumu hiyo inamtosha kagame

You are Great Thinker.
 
[/B][/COLOR][/I]
kama baba yako aliolewa ili apate fedha za kukulea!!!! usidhani kila mwanaume anaweza kuolewa... ni COWARDS wachache kama baba yako ndio wanaweza kufanya uchafu kama huo... period!!!!

Kikwete naye ni mwanaume katika wanaume? Mtu mguu na njia kila siku kwenda kuomba misaada! Hiyo ndo role model gani? His behavior is disgracing the country and the black Africa.
 
Hii article imeandikwa na Andrew Mwenda, never take him seriously always a speculator
 
Huyu Mwandishi Inawezekana amelipwa Ela nzuri tu.
 
mie nimefagilie pale tunapo kumbushwa kuwa... rwanda kanchi kadogo kana kimbia sana kiuchumi, lakini linchi likubwa lenye rasilimali nyingi lina chechemea na "ilani kibao za uchaguzi"
 
KIKWETE kwa hili nakupongeza sana...usisubiri mambo yaharibike DRC then utegemee tuwe salama ata sisi....
wanaoponda ni wajinga sana....lazima majeshi yetu yaende yapambane ili kutokomeza M23 haijarishi watakufa wangapi kwa ni vita haina macho lakini ushindi lazima upatikane...Mbona US,NATO wanakufa kila siku lakini hawajachoka...Tuondoe woga na chuki dhidi ya Rais wetu hadi mwandisahi anatudharau kua TZ haijapigana vita miaka zaidi ya 30 so hii iwe starting point...mbona juzi kati wanajeshi wa south africa wameuliwa na waasi wa SELEKA tena idadi nyingi tu!
 
MIMI NAJIULIZA HUYU MWANDISHI Kwa nini aseme fighting against M23 is fighting against wrong elements? yeye anawafahamu watu halisi behind M23? Anawajua wengineo apart from M23? and why according to him this decision will be potentially explosive one? Mbona kama anaji defend?

Mwandishi anadai ni Mganda.

Ni mwanzilishi na mmiliki wa hiyo gazeti la Independent lililoandika hiyo hiyo story.

Amekuwa na bifu na Museveni kwa muda mrefu sasa kutokana na maandishi yake.

Soma article nyingine yake kuhusu DRC na pia msikilize kwenye video yake hapo chini kwanza kujua ni kwanini anakuja na hoja kuwa jeshi la Tanzania halitaweza huko DRC: The myth of Congolese wealth

Conclusion yake ni kwamba eti Wanyarwanda wanapenda kuwe na amani DRC kuliko wanavyopenda Wakongo wenyewe.

[video=youtube_share;Td1M5WDkGDo]http://youtu.be/Td1M5WDkGDo[/video]

Mmh, vita zingine hizi hata sizielewi, sasa Rwanda watupige tumewachokoza?

Na uzuri sie kila wanaotaka rasilimali zetu hatuwanyimi tunawapa.

Marekani tumewapa kigamboni na sijui kule wapi, wachina nao tushawapa chao, watupigie nini sasa?

Ntarudi kesho nikiwa sober.

For this post alone, it sounds like Rwanda will walk alone very soon.

Kumbe Mganda?

Asijaribu kutuchonganisha na warwanda kwa bifu zao huko.

Sie si tunawapenda warwanda?(Kwa sauti ya woga kabisa na kujipendekeza)

Bila Tanzania, RENAMO wangeshachukua madaraka Mozambique, ila wajomba zetu waliopigana huko ni wazee sasa.

Hata hivyo, ni upuuzi kudhani M23 itawachapa TPDF, hizo nchi weakness yao ni kama ya Amin .... too many factions opposing each other.... so, just mobilize them and use them as pawns.

Hiyo article ni lobbying za wanyarwanda.

Nimeshindwa kuendelea kusoma habari hii maana huyu mwandishi nadhani ndio wale wale jamaa zetu.

Ameshindwa ku make first impression.

Angalia hapo kwenye bold.

Huyu Mwandishi Inawezekana amelipwa Ela nzuri tu.

mwenda.jpg


Andrew M. Mwenda , Odoobo Charles Bichachi , John Njoroge
.​
Mwenda is a very unethical journalist, at least as far as his coverage of Rwanda is concerned. He was on Dr. Emmanule Ndahiro’s pay-roll, the man who foresees ‘selling Kagame’s image”.Mwenda was blindfolded by the money he was making when he was in The Monitor. It was compulsory that time, for each governmnet office in Rwanda to buy The monitor every day. Mwenda sold his professional conscience for this money. Yes, he got the money … what better person has he become? Kagame and his Junta spent a lot of tax-payers’ money advertising useless things in the Monitor under Mwenda. That was a kind of kick-back!! He got that money, Rwandans still will ask Mwenda, what does that blood-socked money mean for you? When he fell out with The Monitor, Mwenda, through Ndahiro secured an order from the President, Kagame, prohibiting all governmnet offices from buying The Monitor.


mwenda.png
 
KIKWETE kwa hili nakupongeza sana...usisubiri mambo yaharibike DRC then utegemee tuwe salama ata sisi....
wanaoponda ni wajinga sana....lazima majeshi yetu yaende yapambane ili kutokomeza M23 haijarishi watakufa wangapi kwa ni vita haina macho lakini ushindi lazima upatikane...Mbona US,NATO wanakufa kila siku lakini hawajachoka...Tuondoe woga na chuki dhidi ya Rais wetu hadi mwandisahi anatudharau kua TZ haijapigana vita miaka zaidi ya 30 so hii iwe starting point...mbona juzi kati wanajeshi wa south africa wameuliwa na waasi wa SELEKA tena idadi nyingi tu!

Asante Mkuu kwa Kusema Ukweli.
 
Typical Tanzanian behaviors? ......You fool do not generalize, hujakaa na wa tz wote. STUPID
 
By Kidatu
Aliyeleta mada hii ni mpumbavu aliyezidi kipimo cha upumbavu. Ninawachukia watu wanaoichukia nchi yao na kusifia nchi nyingine, huo si uzalendo.

Ni bora tubishane CCM na CDM ndani ya nchi yetu kuliko huu upumbavu. Na mwisho ningependa kumwambia mleta mada kwamba Jeshi la Tanzania linashika namba sita kwa ubora katika majeshi yote ya Africa. Sasa hizi habari za kukandia jeshi letu ukome kabisa na ningekuwa na uwezo wa kujua ulipo ningekufuata na kukukata makofi. Shetani mkubwa wewe.
Asante Kidatu kwa moyo wako wa uzalendo; lakini vibaraka wa maadui wa nchi yetu hii wana historia ndefu sana; na ukipenda hata uvamizi wa Iddi Amin kwa nchi yetu usingefanikiwa kama waliokuwa kule mpakani wangekuwa wazalendo wa kweli. Baadhi ya watanzania wenzetu walimuunga mkono Iddi Amin kikamilifu na hata kuyashangilia majeshi yake yalipokuwa yanaliteka eneo la Kagera ingawa baada ya kutimiza adhma yake ile aliwageuka na kuwaangamiza kwa maelfu! Walikuwa wakijiita eti Waganda Kyaka. Kwa hiyo usiwashangae sana wakina EMT kwani kwa namna wanavyoweka hoja zao wanathibitisha kuwa na asili ya Rwanda au ni miongoni mwa maelfu wa Wanyarwanda waliojipenyeza na kuishi nchini kama wananchi lakini mioyo yao iko Rwanda! Wapo wengi wa namna hii na wanashika hata nafasi nyeti kabisa ikiwemo Ikulu!
By EMT
Tufike mahali tuseme ukweli. Tuache kutupiana lawana.

Ni wakaazi wachache sana wa dunia hii ambao hawana damu ya Mkongo mikononi mwao.

Huo ni ukweli ambao watu wanajaribu kuukwepa kwa kutupia lawama kwa wengine.
Haya tueleze we mwenzetu una damu ya Kongo mikononi mwako kwa namna ipi?
By Mtazamo
South Africa ni kweli wako well equipped lakini wana experience ndogo sana! 400 troops kushindwa kudhibiti hao waasi ni aibu! 400 troops si kundi dogo la askari!!!
Tatizo ni kwamba baadhi ya wachangiaji katika mada hii wanajilazimisha tu kuchangia au wanachangia kishabiki bila kuwa na ujuzi wa kijeshi kama ndugu yangu Mtazamo. Ukweli ni kwamba South Africa walikuwa kule na mission moja tu, ya kulinda amani. Hawakuenda kimapigano. Na nakuhakikishia kwa uhakika kwamba hata leo hii wakiamua kwenda kimapigano hao Seleka hawawezi kuhimili vishindo vya wa South hata kwa wiki mbili!
attachment.php
This confirms what I said in my first comment that the writter's wording suggested he was in the Rwandan payrol! He was executing a job sponsored by the Rwandan Intelligence wing!
By Full Moon
You dont see the problem of insecurity in your neighbor? Are you ready to house more millions of refugees in Western Tanzania? It is just a basic and simple explanation: an Insecure and war tone neighbour brings problems to its other border sharing countries.

Example, If there was insecurity in Canada, dont you think the USA would intervene and help stop it?

We do have our own enormous problems, but the Congo crisis is one of the problems..a secured Congo will bring prosperity to Tanzania due to trade and commercial relationships.
Well said Mkuu, I've been against most of CCM and Kikwete's policies and how they run this country; but I fully agree with his decision to send our troops to the DRC. Many of us underestimate the gravity of the problems in the eastern DRC but the fact remains that Tanzania will never be secure if there's insecurity in the harbouring neighbourhood as it is the case with the DRC. Tanzania currently hosts well over 72,000 refugees from the neighbouring DRC. The side effects of this huge refugees influx are worse than spending moneys to prevent them from pouring into our territory; ecological demage, incresed acts of crime and armed banditry are some of the known effects.
By timbilimu
Lisemwalo lipo,kama halipo basi linakuja... Siioni JWTZ ya enzi za Mwl. Nyerere na kwa kiasi fulani mzee Mwinyi. Naliona jeshi ambalo nidhamu yake imepungua,askari wamejaa vitambi na wapenda starehe! Ni kweli baada ya vita ya ukombozi kusini mwa Afrika na Uganda jeshi letu halijapigana vita ya maana. Kule Comoro hata Jeshi letu la Mgambo wangeweza kukomboa kile kisiwa,kwa hiyo siyo kipimo tosha kujigamba kwamba sisi ni wababe. Na mwandishi amesema kweli kwamba kimafunzo jeshi letu zuri,lakini halina silaha za kisasa,na halijapigana muda mrefu. Hii ni hoja muhimu siyo ya kupuuza,lasivyo tunaweza kuta jeshi letu linaabishwa huko Congo!

timbili, sifahamu umri wako; lakini hapo kwenye grey bold si kweli unachosema labda kama umesimuliwa vijiweni. Ukweli ni kwamba JWTZ ilihusika kikamilifu katika counter insurgency war kule Msumbiji miaka ya 1987/88 hadi kuhamasisha usitishaji wa vita na kusainiwa mkataba wa amani kati ya Renamo na serikali ya Msumbiji ambayo ilikuwa imeelemewa vibaya na waasi wale waliokuwa wakisaidiwa na Afrika ya Kusini ya Makaburu. Na hapo penye blue bold; inasikitisha sana kuwaponda kiasi hicho wapiganaji wetu waliohatarisha maisha yao kwenda kufanya kazi ngumu kiasi vile! Ukweli ni kwamba haikuwa kazi rahisi kama mnavyoelezana vijiweni, ilikuwa kazi ngumu na ndiyo maana baadhi ya nchi zilizokuwa zimeahidi kushiriki zilikacha dakika za mwisho na kuiachia Tanzania jukumu lile! Upo ukweli kiasi fulani kwamba mmomonyoko wa maadili uliopo nchi nzima umewaathiri pia wanajeshi wetu (Maana wao pia ni sehemu ya jamii yetu) lakini nasema Tanzania ina uwezo wa kufanya mabadiliko kidogo tu na ku-immobilize resources zake na kuendelea kuwa Jeshi imara kabisa.
 
Nahisi huyu mwandishi ni mtu wa rwanda anajaribu kuitsha tz,sa na wengineo kuvamia na kuwapa kichapo lakini tz haina haja ya kupeleka jeshi tutumie diplomasia yetu tuwashawishi kenya kutuunga mkono then tufunge mpaka wetu na rwanda na kenya astop rwanda kutumia bandari ya mombasa that is enough kuathiri uchumi wa rwanda na kuwasuffocate kabisa kagame hatatoweza kuendesha nchi bila ya mafuta na bidhaa zingine pia msumbiji anatuunga mkono atabaki na option ya bandari ya SA ambao pia wanatusapot bandari ya angola itabid kupitia drc kitu ambacho kabila nae ataweka ngumu hiyo inamtosha kagame

Well said mkuu nakupa tano!
 
MIMI NAJIULIZA HUYU MWANDISHI Kwa nini aseme fighting against M23 is fighting against wrong elements? yeye anawafahamu watu halisi behind M23? Anawajua wengineo apart from M23? and why according to him this decision will be potentially explosive one? Mbona kama anaji defend?
Mwandishi yuko too biased against Tanzania and Kikwete, hivyo si wa kumtilia maanani kabisa. hawa ndio wafuasi wa kagame.

Actually, najua m23 na vita ya congo ni ya faida kubwa kwa Rwanda, and sometimes I tend to support them kwa kile wanachowasapoti waaasi, kwasababu Rwanda inafanya hivyo kutokana na kwamba waasi wanatetea watusi wanaotaka kuuawa na wahutu walioko kule congo. pia, kuna kundi la waasi wa kihutu ambao muda wowote huwa wanajiandaa kuivamia Rwanda wamu overthrow kagame, hivyo kagame huwa anafanya hivyo kwa kujitetea mwenyewe, sema tu mataifa makubwa pamoja na kwamba yanajua ukweli huu, bado yanaendelea kumlaani kagame. mimi namsapoti pamoja na utanzania wangu.

However, when it comes to the matter of war between insurgents or Rwanda against tz, wala tusiumize kichwa kuzungumzia masuala ya zana za vita, so long as Tanzania is praised to have among the best trained army, weapons can be imported from France where Kikwete made a visit just recently, and from China etc. nani atajua kama tayari hayo yameshafanyika? kwa wale wakazi wa kimara, mnaweza kuona jinsi mamia ya malori ya kivita yanayopita hapo hatujui yamebeba nini na yanaenda wapi? wengine wanasema yanaenda congo, wengine wanasema yanapeleka zana zetu sisi wenyewe kwenye magala yaliyoko mikoani etc, lakini kwani sisi watz kama tuna zana mpya lazima tutangaze? tuwatangazie ndo mjue?..forget it, Tanzania ikiingia congo, nina uhakika itawateketeza waasi wale kufumba na kufumbua. tunayo bandari hapa zana zinaingia kile siku, ni siri yetu. na Rwanda katu haitakuja iwe na uwezo wa kupigana na Tanzania, so tukiamua kuingia Rwanda, ni kuipiga kama mtoto mdogo.....huu ndio ukweli, tuache blablaaa
 
Hongera Tanzania. Tz nchi yangu nakupenda sana. Nitakupigania mpaka tone la mwisho. Niwe sina akili lakin adui akija atajua utanzania n nn! Vijana 800 tipo tayari.
Nipe AK 47.
 
mwandishi wa habari hizi ni mjinga asiye na elimu. Jeshi la tanzania limekomboa comoro juzi juzi hapa yeye anadai hatujaingia kwenye action for more than 30 years. Tanzania imejihusisha na amani ya sudan, somalia, lebanon nk na kote huko jeshi letu limeingia kwenye action na kufanya vizuri.... Asubiri aone. Habari hii ni ya uzushi tu!!

ile ya commoro nayo ni action, you might be suffering from mental active inertia.
 
mwandishi yuko too biased against tanzania and kikwete, hivyo si wa kumtilia maanani kabisa. Hawa ndio wafuasi wa kagame.

Actually, najua m23 na vita ya congo ni ya faida kubwa kwa rwanda, and sometimes i tend to support them kwa kile wanachowasapoti waaasi, kwasababu rwanda inafanya hivyo kutokana na kwamba waasi wanatetea watusi wanaotaka kuuawa na wahutu walioko kule congo. Pia, kuna kundi la waasi wa kihutu ambao muda wowote huwa wanajiandaa kuivamia rwanda wamu overthrow kagame, hivyo kagame huwa anafanya hivyo kwa kujitetea mwenyewe, sema tu mataifa makubwa pamoja na kwamba yanajua ukweli huu, bado yanaendelea kumlaani kagame. Mimi namsapoti pamoja na utanzania wangu.

However, when it comes to the matter of war between insurgents or rwanda against tz, wala tusiumize kichwa kuzungumzia masuala ya zana za vita, so long as tanzania is praised to have among the best trained army, weapons can be imported from france where kikwete made a visit just recently, and from china etc. Nani atajua kama tayari hayo yameshafanyika? Kwa wale wakazi wa kimara, mnaweza kuona jinsi mamia ya malori ya kivita yanayopita hapo hatujui yamebeba nini na yanaenda wapi? Wengine wanasema yanaenda congo, wengine wanasema yanapeleka zana zetu sisi wenyewe kwenye magala yaliyoko mikoani etc, lakini kwani sisi watz kama tuna zana mpya lazima tutangaze? Tuwatangazie ndo mjue?..forget it, tanzania ikiingia congo, nina uhakika itawateketeza waasi wale kufumba na kufumbua. Tunayo bandari hapa zana zinaingia kile siku, ni siri yetu. Na rwanda katu haitakuja iwe na uwezo wa kupigana na tanzania, so tukiamua kuingia rwanda, ni kuipiga kama mtoto mdogo.....huu ndio ukweli, tuache blablaaa


unaumwa ugonjwa unaoitwa mental active inertia kwa kimombo kwa kiswahili sijui lugha yetu bado changa, vita ni ari ya askari ulio nao pili zana na uwezo wa kuzitumia, usifikiri hii ni vita ya idd amin ambapo warusi walitusaidia kuendesha mig 29, usijaribu kupima vita kwa macho na mawazo, inahitaji deep analysis we mburula.
 
Back
Top Bottom