chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Vita sio kuwa na silaha kali vita ni ujasiri na mipango,Tanzania ilipopigana na Uganda kumtoa Iddi Amin wanajeshi wa Uganda walikuwa wako "well equiped" walikuwa na silaha kali kuliko wanajeshi wa Tanzania,Tanzania ilishinda vita vile
Jeshi la Tanzania ni jeshi lenye nidhamu katika Africa,jeshi la Tanzania linatoa mafunzo kwa wanajeshi wa nchi nyingi za Africa kuanzia Africa ya kusini,Rwanda,msumbuji,uganda nk
kama Tanzania itaingia vitani wakiungana na South Africa kuna uwezakano mkubwa M23 kushindwa vita,South Africa wana silaha kali,watanzania wanamafunzo makali