How do you survive being single

How do you survive being single

mimiMEE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
285
Reaction score
102
Habari za saa hii wana JF,
Hebu tushirikishane hili jambo kwa wale walio single,unawezaje kujiepusha na vishawishi kipindi ambacho uko alone! sina maelezo mengi but naamini nimeeleweka.
 
Unaweza km utakuwa kampani zuri ila wakihitajika na wachuchu hao mh!
Upweke wazidi mi jf plus kuchat kwaniokoa
 
Stress, Hasira, Matusi, Kupungua kwa ufanisi wa kazi... yaani we acha tu, ukiona mdada kakaa vibaya akili inaruka, ukiona michirizi ya pichu wee hoi...

yaani asikwambie mtu, wakati mwingine concentration inaruka hata padre humsikilizi vizuri church. manake huko nako wanapiga vipedo si kawaida.
 
Hilo litategemea na shughuli zako zinazokufanya uwe bize. Pia jibidiishe na ibada.
 
؛
'match za kirafiki' frm time to
time,singlelife inaenda
barida kabisa,masturbation only km umezidiwa
 
Ukiwa bize inasidia sana, shughuli ikifia muda wa kulala unatamani kungekuwa na Female karibu. Kuwahi kuamka Asubuhi nayo inasaidia ku-survive kama upo Solo.
 
ha2na mama wee!

Kama mwanaume ni domo.zege au huna hela kama hujui kuhonga kama mwanamke huna mvuto una gundu unakimavi unahitaji uende kwa babu ukaoshewe muasumini.
Okeee sie wenye double tumeshamaliza kuangalia blue lagoon.
Sasa twakumbatiana byeeeee usiku mwema.
 
Back
Top Bottom