Mimi nimeamua kuwa single mwenyewe kwa kupenda kabisa.
Ninaweza sababu hata nikiwa na mtu akasafiri hata miaka 2 sichepuki mpk anarudi.
Ninasali japo huwa nafanya hivi miaka yote, nina marafiki ambaobwako nami, nina furaha na ninachokifanya.
Ninajipenda na nafanya vile vitu navyovipenda, sioni kuna upungufu wowote na miezi inaenda.
Nitakapohitaji kuwa na mtu nitaangalia mmoja katika list ndefu ya wanaonisubiri hahaaaahahaaaaa
Guys stay sober,, wadada ni waongoo!!!
Habari za saa hii wana JF,
Hebu tushirikishane hili jambo kwa wale walio single,unawezaje kujiepusha na vishawishi kipindi ambacho uko alone! sina maelezo mengi but naamini nimeeleweka.
Wewe endelea kukariri tu kuwa kila mtu yuko kama wewe, unayependa ngono.
Watu tuko tofauti na kuumbwa tofauti, muongo niwewe mdandia train kwa mbele, wewe unanijua mimi?
Sasa hata nikidanganya kwa faida ya nani? kama mtu unampenda unacheat ili? wewe miaka miwili unaona mingi eeh punguza umalaya wako. Nakaribia mwaka mbona sijafa tena ndio nazidi kunawiri no stress.
Siku nyingine usidandie treni kwa mbele wewe
Hakuna Lisilo Wezekana Chini Ya Jua.
na kingine ni kujifungia ndani tu.....Ameen... Barikiwa. Ni kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tu tunaweza kushinda vishawishi
Habari za saa hii wana JF,
Hebu tushirikishane hili jambo kwa wale walio single,unawezaje kujiepusha na vishawishi kipindi ambacho uko alone! sina maelezo mengi but naamini nimeeleweka.
Hilo litategemea na shughuli zako zinazokufanya uwe bize. Pia jibidiishe na ibada.
Habari za saa hii wana JF,
Hebu tushirikishane hili jambo kwa wale walio single,unawezaje kujiepusha na vishawishi kipindi ambacho uko alone! sina maelezo mengi but naamini nimeeleweka.
Hivi mnawezaje kuwa single??
hata vimechepuko vidogovidogo hamna???
hata uwe busy vipi huwezi kukosa time ya kuwaza ile kitu.Ukiwa bize inasidia sana, shughuli ikifia muda wa kulala unatamani kungekuwa na Female karibu. Kuwahi kuamka Asubuhi nayo inasaidia ku-survive kama upo Solo.
kwani na wewe ni SINGLE!!!!!!!