How do you survive being single

How do you survive being single

Hebu mwambie kitu ni kuamua kwa akili yako..
Maana Wengine Wanadhani Mtu Huwezi kuishi bila the opposite Sex,
Mie sasa hivi ni Mwaka Wa Pili Na Nusu,
Am Moving On Well With My Life.

All things are possible through christ who strengthen us.
ila tuachen utani Ma-Single wengi mnakuaga na stress kama ma-sister wa kanisa hahahah
 
ila tuachen utani Ma-Single wengi mnakuaga na stress kama ma-sister wa kanisa hahahah

Stress zitakuja kama umejiwekea kwamba you can't live without the opposite sex,Ila kama life is keeping you busy hizo stress zinatokea wapi??
Iko kwenye mindset yako,kama unaona kuwa without a man you can't exist mimi naweza tena sana,
Mahusiano niliyowahi kuwa nayo hayakunipa sababu ya kuwa mwanaume kwangu is everything in life,there's more to living my dear friend,Kwa hivyo ni swala la uamuzi tu.
Akiwepo mwenye kujiheshimu kwangu ni bonus point kwenye maisha,akikosekana basi,Na sio kulazimishana mapenzi na kuumizana,Am way beyond that age.
 
Inategemea na mtu ila usingle mgumu lakin ukiamua unakomaa m nnamwaka karibia nimejitahidi kujicontrol na malengo yangu nikufika 2017 ndo nianze tena serious dating istoshe sisi wachuo too bad abroad mabaniani wagumu kutoa papuch mwafrika mwenzako we utageuka baba so nimejiwekea malengo
1.siwazi sana kuhusu mapenz,najipa Mda mwingi kuandika maisha yangu ya sasa na baadae
2nimepunguza kuangalia series kama game of thrones na Spartacus ni kama porn,sitaki kuona wala kuangalia picha za uchi
3 natembea sana nafanya vitu nnavyovipenda naenda club nacheza sana mziki na kunywa kimtindo nkirudi nimechoka naoga nalala
4week days nakuwa busy jioni napiga zangu zoez la aina yoyote mpira pushup dumb bell na nina ab slider as longer ni mazoezi
5nachart sana
6.naepuka sana kukaa peke yangu mda mwingi
Tambua malengo yako na tafuta pesa najua ntazipiga sana tu papuchi
Kuwa single haimaanishi hufanyi mapenzi ukiingia club ukikamata unapiga tu
 
ila tuachen utani Ma-Single wengi mnakuaga na stress kama ma-sister wa kanisa hahahah

Beyonce mwenyewe aliimba kuhusu Single ladies akamaliza huyo akarudi

kwa mumewe Jay Z huku wengine wamekazana wanadance am a single lady am a single lady
 
Kwanza haujasema kwan unataka kua single?....nafkiri utuambie kwanza....umetendwa?,haujawah kua na bf?,umemuacha mtu?....pia una umri gan?,,,usijekuta mmama mtu mzima una na watt kabisa af unataka uwe single!
Embu funguka!
 
Back
Top Bottom