How do you remember your Ex?

How do you remember your Ex?

Nilichogundua ma Ex wangu wengi walikuwa wananichawia tu haiwezekani niwe napenda kiasi kile haiwezekani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] saivi uliyenae pia unampenda mtaachana tu [emoji41]
 
Kwa mengi Sana aseh.. numero uno..
Kuspend four years with her..
Mapenzi Yalikuwa Moto.. kwa kipindi Cha miaka mitatu na nusu sikuwahi kumkinai /kumchoka.
Alikuwa anapenda music so Kuna nyimbo nikizisikia huwa nafurahi au nahuzunika nikimkumbuka.
Mara nyingi huwa ninanext songs ambazo Sina kumbukumbu zetu kila nikizisikia.
Alikuwa mpishi hodari...
She sacrificed all..
Lakini ndo hivyo universe forces hazikutupenda...
Barikiwa sana Mimi.
ilikuaje ukaachana nae
 
Alienda masomoni my insecurities zilifanya tuachane..
Aliondoka bila ya sisi kuafikiana na tayari tulikuwa na plans za kuoana.. Pia biashara ambayo angaifanya yeye ...
Alafu habari za kusoma zingekuja baadae.. alikubali .. lakini .. siku moja ilikuwa Ni jumatatu .. Ya mwezi wa pili tarehe fulani .. mwaka fulani alinitumia picha Akiwa Chuoni ..sikuamini. Niliumia Sana whole weeke nilijua Ni utani .. nyumbani Kuna mti na bench nje Mara nyingi tulikuwa tunakaa hapo so whole week nilikuwa nikitoka kazini nakaa hapo .. nasema Atatokea ..atakuja yupo hajaondoka .. Ni kipindi ambacho nikipitia wakati mgumu Sana kukubaliana na ukweli .. lakini yalipita .. nilipona .. ..
Kilichoniuma Ni why Aliamua kuniaminisha kuwa mawazo yangu Ni sahihi na Bora na yupo tayari kunifuata.. Kumbe alikuwa anawaza tofauti na Mimi ..
Lately Tulizungumza yakaisha lakini nilikuwa tayari Nina Mahusiano mengine .. nowadays anapiga simu .. ananikumbusha plans zetu.. ups and down... Promises..
Hajaolewa anafanya biashara zake but still ananihitaji .. namuhitaji lakini siwezi kuwa nae .. Nina family Sasa hivi and she knows that...
Kagoma kumove on ..Ni mwanamke niliyefanya nae mengi kuliko mwanamke yeyote Yule .
Miaka minne siyo michache.
Kuna muda nikipita barabarani nikiona couple zimeshikana mikono ..
[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]..
Ndo haikupangwa sijui..
But she always says am hers.
Pasha kiporo kupoza machungu
 
😓😓😓😓😓..
Ndo haikupangwa sijui..
But she always says am hers.
Mrudie mwenzio
 
Mwambie aache kuota braza wewe ni wa mkeo
 
Popote ulipo M, jah akufanyie wepesi wa Yale yote utakayo kuyatimiza na yakatimie kwa uhitaji wako au zaidi,
JAH akuzidishie kile ulichopungukiwa, na, kikawe bora kwa manufaa makubwa juu ya maisha yako.

Nakumbuka nasaha, busara, hekima, na elimu yote uliyokua ukinipa, leo hii ninaweza kusimama mwenyewe na kuyapigania maisha yangu kwa namna yeyote.
Umenifanya niamini kila jambo lipo kwa kusudi yake, zaidi nakumbuka San msemo wako "ukipewa kilema unapewa na mwendo" hakika leo imekua km vile.

Ubarikiwe sana.
 
We mtu mzima mtoto awe!!!
 
Huyo mwamba alikufanya kama mwanae[emoji851]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom