EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
- Thread starter
- #41
[emoji41][emoji41] acha uongo aisee sisi UABATA hatuhongagiMapenzi haya ni makali sana .
Nawakumbuka kwa kuwa wakarimu kwangu nakujipendekeza na kunihonga
[emoji41][emoji41] acha uongo aisee sisi UABATA hatuhongagiMapenzi haya ni makali sana .
Nawakumbuka kwa kuwa wakarimu kwangu nakujipendekeza na kunihonga
Ex yoyote kabla ya mkeoMahusiano huchipua mahala popote pale.
Unazungumzia x yupi[emoji44]
Mana wengine tuna seasons
Umetoka hapa
Ukaenda kulee
Ukarudi pale
Ujazunguka ukashangaa upo vile
Pattern ya hatari
Ndio hapoMahusiano huchipua mahala popote pale.
Unazungumzia x yupi[emoji44]
Mana wengine tuna seasons
Umetoka hapa
Ukaenda kulee
Ukarudi pale
Ujazunguka ukashangaa upo vile
Pattern ya hatari
Ubongo wetu uko memory.Ex yoyote kabla ya mkeo
(kama umeoa)
Alienda masomoni my insecurities zilifanya tuachane..Duh? Mkuu ulifaidi sana, kwann mliachana?
Kila stage unajikuta alikuwepo XNdio hapo
Eh sawa kabisaKila stage unajikuta alikuwepo X
Na kila mmoja anamchango wake.
We huyo alikuwa binadamu sio malaikaAlienda masomoni my insecurities zilifanya tuachane..
Aliondoka bila ya sisi kuafikiana na tayari tulikuwa na plans za kuoana.. Pia biashara ambayo angaifanya yeye ...
Alafu habari za kusoma zingekuja baadae.. alikubali .. lakini .. siku moja ilikuwa Ni jumatatu .. Ya mwezi wa pili tarehe fulani .. mwaka fulani alinitumia picha Akiwa Chuoni ..sikuamini. Niliumia Sana whole weeke nilijua Ni utani .. nyumbani Kuna mti na bench nje Mara nyingi tulikuwa tunakaa hapo so whole week nilikuwa nikitoka kazini nakaa hapo .. nasema Atatokea ..atakuja yupo hajaondoka .. Ni kipindi ambacho nikipitia wakati mgumu Sana kukubaliana na ukweli .. lakini yalipita .. nilipona .. ..
Kilichoniuma Ni why Aliamua kuniaminisha kuwa mawazo yangu Ni sahihi na Bora na yupo tayari kunifuata.. Kumbe alikuwa anawaza tofauti na Mimi ..
Lately Tulizungumza yakaisha lakini nilikuwa tayari Nina Mahusiano mengine .. nowadays anapiga simu .. ananikumbusha plans zetu.. ups and down... Promises..
Hajaolewa anafanya biashara zake but still ananihitaji .. namuhitaji lakini siwezi kuwa nae .. Nina family Sasa hivi and she knows that...
Kagoma kumove on ..Ni mwanamke niliyefanya nae mengi kuliko mwanamke yeyote Yule .
Miaka minne siyo michache.
Kuna muda nikipita barabarani nikiona couple zimeshikana mikono ..
😓😓😓😓😓..
Ndo haikupangwa sijui..
But she always says am hers.
Huyu wa kunyanduana umezingua aisew ngoja nikuitie mtimkav akupe dawa nguvu zimekataKuna mmoja alikuwa anapenda kuniimbia nyimbo za rnb na zingine na kulia Lia Kila mara hata Kama Mimi ndio nimekosa, mwingine alikuwa anapenda kunyanduana Kila siku anataka mpaka namkwepa. Hawa wa Sasa kinyume Chao ingawa wanna mazuri yao pia
Tatizo wapo wengi...kwenye comment hawatoshi itakuwa ni uzi ndani ya uzi
Wote walikuwa na umuhimu.Kati ya hao wote kuna mmoja anawazidi wote yaan
Tuanze na episode 1[emoji41]Ubongo wetu uko memory.
Kwa haraka ni mengi tunakumbuka.
Kuwasahau ni ngumu aiseh.
Siku ukikaa useme uanze kukumbuka unakuwa kama unajisimulia seasons ambayo haina mwisho.
Mara nyingi humaliza kwa kusinzia usingizi
Duh pole mkuuAlienda masomoni my insecurities zilifanya tuachane..
Aliondoka bila ya sisi kuafikiana na tayari tulikuwa na plans za kuoana.. Pia biashara ambayo angaifanya yeye ...
Alafu habari za kusoma zingekuja baadae.. alikubali .. lakini .. siku moja ilikuwa Ni jumatatu .. Ya mwezi wa pili tarehe fulani .. mwaka fulani alinitumia picha Akiwa Chuoni ..sikuamini. Niliumia Sana whole weeke nilijua Ni utani .. nyumbani Kuna mti na bench nje Mara nyingi tulikuwa tunakaa hapo so whole week nilikuwa nikitoka kazini nakaa hapo .. nasema Atatokea ..atakuja yupo hajaondoka .. Ni kipindi ambacho nikipitia wakati mgumu Sana kukubaliana na ukweli .. lakini yalipita .. nilipona .. ..
Kilichoniuma Ni why Aliamua kuniaminisha kuwa mawazo yangu Ni sahihi na Bora na yupo tayari kunifuata.. Kumbe alikuwa anawaza tofauti na Mimi ..
Lately Tulizungumza yakaisha lakini nilikuwa tayari Nina Mahusiano mengine .. nowadays anapiga simu .. ananikumbusha plans zetu.. ups and down... Promises..
Hajaolewa anafanya biashara zake but still ananihitaji .. namuhitaji lakini siwezi kuwa nae .. Nina family Sasa hivi and she knows that...
Kagoma kumove on ..Ni mwanamke niliyefanya nae mengi kuliko mwanamke yeyote Yule .
Miaka minne siyo michache.
Kuna muda nikipita barabarani nikiona couple zimeshikana mikono ..
[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]..
Ndo haikupangwa sijui..
But she always says am hers.
Tupe kisa chako mkuu[emoji41]Kila stage unajikuta alikuwepo X
Na kila mmoja anamchango wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mfano;
X mpenda pesa[emoji3]
Huyu alinifundisha kuwa mtoto wa kike anahitaji pesa
Kwa matumizi yake
Japo nlikuwa nachukia kupigwa mzinga[emoji16]
X mkimya[emoji56] pesa haombi kabisa
Huyu kiukweli anaweza kukudumaza na kukusahaulisha wajibu wako kama Mwanaume we mpenda kitonga.
Utavimba ila [emoji39]
X mkorofi[emoji849]
Huyu amenisaidia sana kujua madhaifu yangu
Mana nisingekosolewa sijui ningejijua ajeeee[emoji12]
X mpole[emoji3]
Huyu alimaliza stress sana mana
Mda mwingine nlikuwa namuonea tu naamua kufanya xhoxhote [emoji91]
Pia amenijenga sana
X Hajui mapishi[emoji44]
Huyu ndo nligundua kumbe mwanaume inabidi na sisi tujue kupika.
Yeye michips tu na vyakula simple simlpe tu[emoji3]
Hushibi
Nlijifunza vtu pia.
X Msomi[emoji56]
Mazee pasu pasu hapa
Ujuaji mwingi sanaaaa
Nn hajui? Insta yupo. Fb yupo sijui wapi hana acc labda ktk betting[emoji23]ndo hayupo
Habari mpya kashaijua
We hujapata ye tayar kashaju
Misheria kibao anaijua
Pia amenifunza.
Jaman mambo ni meeeengi mengine ya kuchekesha[emoji23][emoji23]
Sasa huyu niliye naye ananambia oooh kwa nn nimechelewa kukujua.
Nacheka kimoyokimoyo najiambia angenipata kipindi angekuwa analia kila siku ashukuru nimebadilika vitu vingi sanaaaaaaaaa
X kokote mlipo natambua mchango wenu
Kuna police,mwalim,nesi,mama ntilie, acha wale under 18[emoji12] miaka 30.
Usinilaum je kama na mm nlikuwa under 19[emoji23]
Kuna jobless.
Dahhhhhh
Siwez maliza aisehh mana file lefu mnooooo[emoji16][emoji3][emoji56][emoji102]
[emoji881]simba nguvu 1 tarehe nane twende uwanjan mtani anakufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YeeesKati ya hao wote kuna mmoja anawazidi wote yaan
Mambo ni mengi mkuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]