Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,186
DMZItoshe kumuombea Baraka na mafanikio tele kwa kila kitu anachokifanya.mwamba alinibeba sehemu ambayo hata ndugu wakaribu waliniacha.Mungu akutunze J popote ulipo.
DMZItoshe kumuombea Baraka na mafanikio tele kwa kila kitu anachokifanya.mwamba alinibeba sehemu ambayo hata ndugu wakaribu waliniacha.Mungu akutunze J popote ulipo.
Hii ni b tuu inazungumziwa hapLeah popote ulipo Mungu akubariki sana ulikua unajua kutumia vizuri lips zako soft
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kuna watu tunakutana nao kwenye Maisha kwa ajili ya kutoa msaada (hii huja kugundua baadae sana lakini)Off topic, kwanini hukuolewa nae?
Hiyo inamaanisha nini
Yes sistaaMada ni unamkumbukaje ex wako?unamkumbuka kwa lipi?
Sio suala la uadui ama urafiki
Unamkumbuka Lea.kwa lipi??Leah popote ulipo Mungu akubariki sana ulikua unajua kutumia vizuri lips zako soft
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wasalimie hapo UyoleTulikuwa tunachapana miti hadi wale wahindi wa ghorofa ya jirani wanabaki wanakula chabo hawana mbavu. Dirisha lote nilikuwa nalifungua naliacha wazi na pazia nalifungua kwaajili ya kupata hewa maana utianaji tuliokuwa tukiufanya ni motoooo wa hatari lakini salama
We mdada nablips zako tukumbushe unamkumbukaje msela??Kuna watu tunakutana nao kwenye Maisha kwa ajili ya kutoa msaada (hii huja kugundua baadae sana lakini)
Hawa hata sijui walifaulu vipi fom2Tatizo wapo wengi...kwenye comment hawatoshi itakuwa ni uzi ndani ya uzi
Aligongewa obviously😂Aliachwa kwa shari huyo
Nilifanya kwa sababu ya Upendo tuu na siyo kujipendekeza my unique flower.Mapenzi haya ni makali sana .
Nawakumbuka kwa kuwa wakarimu kwangu nakujipendekeza na kunihonga
Thank youNilifanya kwa sababu ya Upendo tuu na siyo kujipendekeza my unique flower.
I miss your scent...
Namkumbuka kwa mengi ikiwa ni pamoja na kunionyesha mwanga wa maishaWe mdada nablips zako tukumbushe unamkumbukaje msela??
[emoji1756][emoji1756]Namkumbuka kwa mengi ikiwa ni pamoja na kunionyesha mwanga wa maisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1756][emoji1756]Aligongewa obviously[emoji23]
Duh? Mkuu ulifaidi sana, kwann mliachana?Kwa mengi Sana aseh.. numero uno..
Kuspend four years with her..
Mapenzi Yalikuwa Moto.. kwa kipindi Cha miaka mitatu na nusu sikuwahi kumkinai /kumchoka.
Alikuwa anapenda music so Kuna nyimbo nikizisikia huwa nafurahi au nahuzunika nikimkumbuka.
Mara nyingi huwa ninanext songs ambazo Sina kumbukumbu zetu kila nikizisikia.
Alikuwa mpishi hodari...
She sacrificed all..
Lakini ndo hivyo universe forces hazikutupenda...
Barikiwa sana Mimi.