How do you move on from someone perfect

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
996
1,977
As my tittle, niki sema perfect I mean perfect. Yani we have the chemistry ambayo tunaelewana. We broke up kisa nilikuwa busy na kazi za watu alafu mkoa mwingine. Ni kasema fresh. 1 year in. I can't replace her. All the girls napata amna hata anamfikia on filling my soul with happiness. Yani she completed me. Ingawa I used to hustle to fill her desire ila she completed me.

Shida inakuja kila girl napata amna kitu yani nikama 20 plus girls wote empty + na include 400+ ninao wajua ( I know alot of girls don't ask me why). Sio kwamba ni mzuri sana ila tabia yake ni adimu sana. She never settle for less. I miss that life. Sasa kila ninaempata loves me the way I am. Am not motivated, I dont get the proudness and the struggle to fight for love. Mapenzi yame kuwa mepesi sana. Kuna siku na struggle hadi kulala nikifikilia yani nothing settles. Nimemuona juzi kati ndo kabisa. been a year apart am still in love with her.

Wazee mnatokaje kwenye hili? Kupiga nimepiga kila type na rangi hadi Arabian Girls, ila i still want just her . Kurongwa silogeki kifala, am self aware and I still fail to let her go. ( note: I tried therapy it failed, pombe failed) sijui what's next 😔
 
Nimeachika mwaka sasa nakula pisi nyingine. I never checked on her once. Yani hata hi. Sijawai toa since that day she said its over. Shida ni kureplace hii bidhaa. Nearly an impossible mission
Bado hujaachika sasa

Kama una pesa funga safari mfuate bana Mkuu, maisha ni haya haya, mimi siku nikiachika nitatembea kwa miguu mpaka mkoa mwingine

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimeachika mwaka sasa nakula pisi nyingine. I never checked on her once. Yani hata hi. Sijawai toa since that day she said its over. Shida ni kureplace hii bidhaa. Nearly an impossible mission
Hujaamua tu mkuu, hii kitu ilishawahi nitokea pia lakini mwisho wa siku ni lazima ukubali yaishe na maisha mengine yaendelee. Usifosi upendo, mwenzio hana muda na wewe na anaendelea na maisha yake unadhani utakaa ukimsubiri na kumuona sahihi hadi lini?
 
The big problem with you is that you're too much obsessed with her.
You need to stop thinking about her by putting her at the back of your mind.

Delete her photos, contact ( s) and messages from your phone/ laptop.
Some photos she is with my family I can't. I nearly forgot about her. I get relapse on /off occuring after few months some times weeks. Even without seeing her. This is torture to me.
 
Hujaamua tu mkuu, hii kitu ilishawahi nitokea pia lakini mwisho wa siku ni lazima ukubali yaishe na maisha mengine yaendelee. Usifosi upendo, mwenzio hana muda na wewe na anaendelea na maisha yake unadhani utakaa ukimsubiri na kumuona sahihi hadi lini?
I have no issues,, with her. I don't even care what she does with her life. Why the f . I still remember her and I can't get the same feelings with other women. It's like she left a threshold line in my life the other woman has to break smh....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom