Hata ueleweki unachotaka kusaidiwa?Nimejiangusha, najiokotaje kutoka chini?
Kwa wataalam na wazoefu nifundisheni kujisamehe ili niendelee.
Hata ueleweki unachotaka kusaidiwa?
Umejiangusha wapi mkuu,?
Tungo ngumu hii waachie wajuvi we soma commentsHata ueleweki unachotaka kusaidiwa?
Waite wahuni wakupige jeki
[/QUO
Naomba kujua JINSI yako nikushauri ipasavyoNimejiangusha, najiokotaje kutoka chini?
Kwa wataalam na wazoefu nifundisheni kujisamehe ili niendelee.
Rudi kwa JanView attachment 1237130
Does gender matters in this? Anyway iam sheNaomba kujua JINSI yako nikushauri ipasavyo
Kama umejiangusha kwake na hajakudaka itakuwa kwa sababu mikono yake yote imeshika kitu kingine kwaiyo jinyanyukie zako kung'uta vumbi makalioni, uguza vidonda na usonge mbele, usitafute daktari wa mda mfupi kutibu maumivu yako atakujeruhi zaidi.Nimejiangusha, najiokotaje kutoka chini?
Kwa wataalam na wazoefu nifundisheni kujisamehe ili niendelee.
Zero IQ Kiduku lilo ni washauri wazuri sana na mabingwa wa majanga unayopitia, watakusaidia tu bila malipo yoyote Mama [emoji87]Nimependa nisipotakiwa kupenda, huku nikifahamu fika matokeo, sasa nataka nijisamehe, nipe mbinu