How Can I Get Password Of Wifi Near Me?

How Can I Get Password Of Wifi Near Me?

Kosa kubwa ulilolifanya ni kuruhusu watu wayajue maisha yako ya ndani. Jiepushe na maisha ya kukaa kijiweni ambako unaonekana jobless, badala yake kigeuze kijiwe kuwa shoe shine, genge duka, pesa point ya Mpesa, Tigipesa etc utaheshimika
Nashukuru kaka kwa ushauri.
Hyo sehemu ninapopaita kijiwen ndo kazini penyewe. Kaz nnayofanya sio ya kuni keep busy kwa hyo mda mwng kukaa peke angu ofisin naboreka kwa hyo natoka nje naenda kijiwen,, kijiwe kimepakana na ofisi yangu ilipo.!!!!

Btw,,,, mm sijaruhusu wayajue maisha yangu ila ukiwa apeche alolo huwez jificha kwa sababu
suruali moja utavaa sku tatu mfululizo,, shati utakaa unarudia hlohlo,,,,
lunch unaenda kula kwny vibanda vya buku mbili mbili,,,,
maji unadanlod,,,
Sura inapoteza nuru,,,
yaan ni fedheha kwa kweli[emoji53][emoji45]
 
Njia ninayoifahamu ni ya Android. Na simu inatakiw iwe rooted
Asante ntakutafuta mkuu. Hii smu nayotumia naogopa kui root kwa sababu ina matatzo flan hv ya software kwa hyo niki root lets say kwa kutumia king root afu ikazngua asalaleeeeeeh ndo nitaiaga JF kwa lazma!!!!
 
Sawa
 
Mtafute mtu wa reception au mdada yeyote wa hapo jenga nae urafiki ndio uombe password
Am hard in making friends especially female friends. Ubaya zaid n kwamba huyu receiptionist wa hapa anagongwa na watu wenye pesa zao kwa hyo hata hyo kumsalimia tu siwez sababu hata akiwa anapita mbele yangu anapita kama haoni yan kama kapishana na kivuli.

Mm hua Siwez kuvumilia dharau especially dharau za wanawake. My patience is very thin asee.
 
Haahaahaa......unataka asalimie kila mtu! Dunia haitaki maisha hayo wewe bado uko nyuma huenda..unataka kupendwa na kila mtu...jishushe ..kalaghabaho
 
that's easy, use this formular for free passwords
images (1).jpeg
 
Haahaahaa......unataka asalimie kila mtu! Dunia haitaki maisha hayo wewe bado uko nyuma huenda..unataka kupendwa na kila mtu...jishushe ..kalaghabaho
Kusalimiana ndiyo uungwana. Kuna watu mnaweza kuishi kwenye nyumba moja ya kupanga lkn hata salamu mpk umuanze yeye.
Kuna watu wakiwa na maisha fulani wanaanza dharau.
 
Hello experts,,,,,,

I am living in a place where there is a wifi from a certain company but it has a password and the company can't give me the password.

I need help on how can i get the password of such a wifi.

I will pay for the help. But I will pay after the job is done.
Wanachange password kila siku itakusumbua hiyo
Piga chini nunua bando
 
Back
Top Bottom