Hcho kifaa kinaitwaje? Na kinauzwa bei gani?Ili kucrack password ya WiFi kuna kifaa inabidi ununue kisha uscan hiyo network kisha itaperform handshake katika mojawapo ya devices ili kuprompt kupata password kisha utaipata password ya hiyo network. Otherwise nenda airport terminal 3 kuna free WiFi masaa 24. Hapo ni wewe na chaji yako tu.
Sifahamu mkuu, nadhani ni chini ya $50 hivi. Kicheki mitaa ya YouTube utapata na tutorials zakeHcho kifaa kinaitwaje? Na kinauzwa bei gani?
mkuu nakuomba PM mara mojaSawa
Ah mbona iko poa tu hiyo. Lugha la wakoloni hilo halihitaji kuheshimiwa. Wacha tuongee kama wao wanavyoongea lugha yetu.Hii English kwa sisi kutoka Buckingham palace tunatapika