how are you ??

Hatujambo AD ..nimekutumia namba yangu ya M-Pesa unitumie shilingi za supu..
Take care AD

dahhhhh
Nakuona hapo juu unaendelea ku ng'aa tu dear ..
yaani wale mbuzi wa supu umesha wamaliza duhh...

ngoja nikutumie sasa kabla ya shilingi yetu
kuwa kama ya Zimbabwe.....
 
Ded: Dirty Money Ft T.I

Hello, Good morning
lets go, lets ride,
Hello, Good morning
Hello, Good morning
Know you’ve been waiting for it
’cause I seen you watching
so lets go
lets get it popping



[video=dailymotion;xdao3z]http://www.dailymotion.com/video/xdao3z_diddy-dirty-money-hello-good-mornin_music[/video]



Welcome BACK AfroD....
 
I'm so_so, ad, thanks for asking. Naomba kashairi ka kunichangamsha basi

King'ast mayi dia, ningependa kukuona supa
King'ast kama dia, kwa mikwara na ma pupa
King'ast asilimia mia, jukwaani supa dupa
King'ast aweka nia, kote kote papa uka....

sasa bibi mzuri unanivizia
wakati ubongo umelala..
duuuhhhh..
Hujambo lakini??
 


Dahhhhh Asha Dii
bana asante sana dear ..
mi nli dhani leo jumamosi baada ya kusikiliza huo wimbo..
Hope we uko Super my dear .....
 
Dahhhhh Asha Dii
bana asante sana dear ..
mi nli dhani leo jumamosi baada ya kusikiliza huo wimbo..
Hope we uko Super my dear .....



Umeona eeeh?? lol.... Just like hio part ya lyrics niliyoweka.... Hio part kwangu ni Perfectooo...
 
My doctor says I'm Super
My Boss says I'm Mad
My Neighbor says I'm Sick
And that Boy says I'm Wicked
But I say I'm Hungry ...and I can eat anything
 
Umeona eeeh?? lol.... Just like hio part ya lyrics niliyoweka.... Hio part kwangu ni Perfectooo...

duhhh
umenifanya nisikilize miziki yangu sasa hahaha lol
naivuta weekend taratibu..

kuna huu wa Florida na David Guetta

You know I know how
to make them stop and stare as I zone out
the club cant even handle me right now ........

dahhhh napeleka mawazo mbali ...hahah
 
am super....habari yako binafsi AD....

mimi super sasa tangu nisikie toka kwako hahah..
and i hope you will stay that way .... ..
naona wazidi ku meremeta tu ....
 



Raha jipe mwenyewe.... Choice wanasemaga "Thursday is the new Friday" lol... Wabongo tunavopenda jirusha!
 
My doctor says I'm Super
My Boss says I'm Mad
My Neighbor says I'm Sick
And that Boy says I'm Wicked
But I say I'm Hungry ...and I can eat anything

wao ..
I'm sorry to hear you can't eat ...
try to keep your fluid level up ....
anyway why can't you eat anything ?
Hope your okay though..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…