How are you examplifying yourself to the younger generation?

How are you examplifying yourself to the younger generation?

Huwa nina proof read multiple times kabla ya kupost. Kwahiyo nafahamu nilichokiandika.
Unaniiga? Iga ufe!

Thats my ideology. I have no interest in being a role model to anyone as I lack one myself
 
Sijui hata nisemeje! Anyway......!

Dunia ina walimu wengi sana kwa uzoefu wa maisha yangu mafupi niliyoishi. Napenda watu wajifunze kutoka katika pande zangu zote,nzuri na zile ambazo mi naona sawa ila kwa baadhi ya watu sio sawa na zile ambazo ni mbaya hata kwangu mwenyewe.

Katika kila hatua ya maisha tunajifunza na kubadilika.....nilipotoka kwa wazazi kwenda bording school nilibdilika,nilipoenda chuo nikabadilika,nilipoanza kazi na kujitegemea kabisaaa nikabadilika,unasoma vitabu unabadilika,tamthiliya hizi,kutembea,mitandao ndo usiseme...nadhani ni sehemu ya maisha.

Kwa kuiga yaliyo mema na mabaya kote nilijifunza na nitaendelea kujifunza. Sipendi na sitaki kuishi maisha ya mtu mwingine, ila tunaweza jifunza na kufundisha watu wengine kwa mazuri na mabaya yetu.

Ukweli sina namna ambayo ninawaza kujitambulisha kwa vijana wenzangu....ILA mambo muhimu kwangu, kujipenda mwenyewe,kuwapenda wenzangu,kusaidia jamii kwa kile nilicho nacho kama ni information,ujuzi,network nk,kuheshimu watu,kufanya kazi kwa bidii na uaminifu na zaidi ya yote kujitahidi kumpenda Mungu kwa uwezo wangu mdogo ninao weza. Atakayeona ni sawa hivyo ewaaaa na ajifunze hayo kutoka kwangu.

Walimu wa maisha wamekuwa mno wengi,nitatoa mfano mdogo....hapo nyuma niliwahi mwambia aunt yangu kwamba nina rafiki wa kiume,akaniuliza kabila na kazi yake nikamwambia.....hakufurahi,akaniambia wewe shule umeenda ila umetoka bure,akanipa mfano wa kaka mwingine ambaye yeye kwa maono yake ndio ananifaa.....nikamsikiliza nikatulia,nikaenda kwa mama akaona tofauti na sababu akatoa.....marafiki zangu nao kwa experience zao wakajieleza....mwisho wa siku nikagundua,mwalimu wetu si mmoja,lililo jema kwangu,la busara silo la aunt wala marafiki,kila mtu apime na ajifunze kutokana na makosa.... at the end of the day....amua tu uonavyo sawa....ila uwe na furaha na usiumize mtu kwa kukusudia.
 
Unaniiga? Iga ufe!

Thats my ideology. I have no interest in being a role model to anyone as I lack one myself

That is very true. I know myself better than anyone else and I know I have the responsibility of doing good to the youngsters. That said, I try my best to have an honest and simple life, without provoking the ones under me morally.

I do not accept the idea that someone should look up to me and aspire to be like me. Singling me out as an example limits his/her breadth and capability. Furthermore, since they arent in my shoes they might probably be selective of the aspects of my life that inspire them without really knowing what it takes and what it costs. This is a blunder as the two sides go together. In fact, most people who have role models are not informed about this sector of their role model's life or career or success. They simple generalize hastily that they want to be like whoever it is. Unless you know that person (or his/her relevant career or success story e.t.c) comprehensively and he or she has been completely honest and open with you all along, you can not and should not dare use him/her as a role model.

Otherwise, misleading statements like "Do as I say and not as I do" or "Copy the favorable and discard the others" will prevail.

I would rather tell a kid to create his own dream and build it rather than folllow someone's or my own footsteps without extensive and doubtless knowledge of the path. Circumstances always differ.
 
The Boss

Younger generation inateketea and people do nothing abt it.What are the adults doing ?accompaning them?We cant just lay back and relax and expect for miracles to happen.
 
Last edited by a moderator:
Younger generation inateketea and people do nothing abt it....What are the adults doing ?accompaning them?We cant just lay back and relax and expect for miracles to happen....

Inauma but ni ngumu kuwasaidia
technology inaondoa utoto wao
wanajikuta ni kama watu wazima kumbe bado watoto
 
Younger generation inateketea and people do nothing abt it....What are the adults doing ?accompaning them?We cant just lay back and relax and expect for miracles to happen....

Kuna kitu nadhani sijui ni sikielewi au lah? Older generation iko perfect? Si tunajifunza kutoka kwao? If wao wako walivyo mifano nadhani ipo wazi kwenye mahusiano,serikali,kanisani au jamii na familia zetu...? Who are these perfect adults tunawaongelea hapa na tunaotaraji makubwa sana kutoka kwao?

waga nawaza sana watu wanavyosema sijui kina fulani wakiwa madarakani rushwa itaisha sijui ufisadi hautakuwepo...inawezekana ikawa hivyo na ninatamani kuiona hiyo siku....ila mi nikienda hospitali za binafsi tu nakuta viashiria vya rushwa ubaguzi, na najifunza tu kuwa,walio serikalini ni reflection ya jamii ya watanzania walio wengi.

Suluhisho ni zaidi ya kuangalia adults walioko mbele yetu.
 
ISO M.CodD

Mimi natofautiana na ww,si lazima nikubaliane nawe lkn all young individuals of all ages need role models na ndio maana kukawa na wazazi/guides na watoto.Everyone needs someone to look up although it does not mean they should end up exaclty like them, they can choose their own pathways of life and dreams to fulfill but SETTING A GOOD EXAMPLE IS NECESSARY IN ANY SOCIETY.

For instance my parents werent educated actually my mother is illiterate,babaangu alijitahidi kumpeleka elimu ya watu wazima walau akajua japo kuandika jina lake but one thing she taught me is that i should have education,she told me i should study hard and be a great person!SHE NEVER HAD WHAT I HAD

BUT SHE ALWAYS GUIDED ME TO WHAT I NEEDED!She always taught me about the goods of life...although at the end i decided my own pathway of life but she was my role model and she always will be!And I will do the same to my own daughter.Nitamfundisha yaliyo mema,nitamkosoa akikosea,nitampa vyote ambavyo mimi nilinyimwa na najua ni vya manufaa kwake na nitakuwa mfano bora.

WE ALL NEED ROLE MODELS IN LIFE.
 
Last edited by a moderator:
Michelle

Older generation were never perfect but they at the least have morals and boundaries!Do the younger generation have that?
 
Last edited by a moderator:
Isumbwile

Isumbwile

I just love the third point (among others). However, People like Bandura – (who was both a psychologist and sociologist) are showing us that the best way to teach is modeling. Without telling anybody anything, without teaching anybody anything, you "be" what you want children (the young and contemporary generation) to be and watch them grow and prosper!
 
Last edited by a moderator:
I wish mada zote humu JF zingekuwa zina mashiko na zingekuwa zinapata response nzuri kama hii..maana siku zote naishia kuona mada nzuri ikichangiwa na wapumbavu wengi au mada ya kipumbavu ikichangiwa na wapumbavu zaidi..
gorgeous, you have come up with something good..to be honest imenifanya mi mwenyewe nijihukumu kwa nyakati ambazo nakuwa carried away na kujikuta nakuwa conformed na upuuzi wa watu humu.

lets strive for the change..lets be good examples to the younger generation by how we communicate beginning humu JF mpaka kwenye jamii zetu

"and do not be conformed to this world, but be transformed by the renewing of your mind, that you may prove what is that good and acceptable and perfect will of God" Romans 12:2
 
Older generation were never perfect...but they at the least have morals and boundaries!Do the younger generation have that?

I think me and you were raised in different planets...when I look at the so called older generation at home,work,news, I do not see better people.... I belong to a young generation and I have morals and boundaries and so are my close friends who are also young....! One lesson, my parents taught me well is to always be myself,believe in myself,question everything and learn for as long as I live. We both have good and bad side,old or young.....at the end of the day the choice of what is moral,ethical and within the boundary depends on you. Bill Clinton is a role model to many....but is Bill perfect? Is he what you will call a good father? a good husband? That depends on what YOU think a good father and husband should be. There is a good and bad side of each and every one of us....Let the young generation be,be the best version of you but let them decide how they should live their lives. You can not be everything to everybody.
 
Malezi tuliyolelewa na ndio siku zote yanaleta utofauti.Hao waropokaji na wasiojiheshimu ni kutokana na malezi au mazingira yanayomzunguka.Kuna mama mmoja jirani nilikuwa namuona mstaarabu sana siku hiyo nimeenda kwake aiseee nilijuta yani alikuwa anawatukana wanae hadi nikaona aibu na kwa jinsi nilivyoona mazingira ya pale na matusi mazito kwa watoto nikasema piga ua watoto lazima na wao waje kuwa watukanaji wazuri

Honey Faith
This is beautiful. I concur with your line of reasoning. The same is strongly supported by R. D. Laing, the Psychiatrist who once said, "From the moment of birth you are programmed to become a human being, but always as defined by your culture and your parents and your educators" -- of course your environment! With that note, people's behavior and personalities differs depending on what type of people were you/and still associate as you pass through the journey of socialization.
 
Michelle

I was always taught to have morals,to set goals,to have something to live up to and the stakes were always high.I learned from my own life experience to be myself and acknowledge pride for who i am.And every single brightening day I learn more.
 
Last edited by a moderator:
Well,japo ni comment zaidi ya 70 sasa tayari i hope wengi wamesema mengi sana wala sitaki kusema sana ila kikubwa ambacho ningependa kusema ni kuwa TOPIC ya mtoa mada ni nzuri na ina mafunzo tele ndani yake nimeipenda...............lakini hakuna kitu kinatokea tu ili mradi kimetokea HAPANA ila ukitaka kujua kwa nini kinatokea,you just GO back to your signature then jibu utalikuta hapo kuwa,EVERYTHING HAPPENS FOR A REASON

gorgeousmimi
 
Last edited by a moderator:
Michelle

Michelle
,
This is incredible and beautiful! I agree with you that we are so incredibly 'unique', yes, however, it is un disputable fact that people around us have great influence on what kind of people we are.

Every thing in life is learned -- Psychologists, Sociologists and Anthropologists have told us for years. And as suggested by Bandura, the best way to teach is by modeling.

Let's teach our children and the young generation by setting good examples around for them to admire and learn by themselves, let's be their models -- being it at home, school etc.

Look at what your parents taught you when you were growing, I do hope they did not just preached in a form of a lecture but they were your models, and so you learned their ways. You admired them, and so wished to become 'you' in their own examples. Right?
 
Last edited by a moderator:
Inauma but ni ngumu kuwasaidia
technology inaondoa utoto wao
wanajikuta ni kama watu wazima kumbe bado watoto

The Boss,
Well said. Thump up!! However, we should not dare to allow technology to be an excuse for us adult not assuming our prime responsibility over guiding by modeling the younger generation. I have great hope for tomorrow!!
 
Chocs

Asante kwa mchango wako mpenzi.Umegusia point nzuri dia,misingi ya dini ni muhimu pia ili kuwapa younger generation hofu ya mungu!!Hakuna kisichowezekana kwa kweli mabadiliko yanaaza kwetu sisi!

I miss you too :busu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom