Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
Usijali rafiki...we all have different opinions...Have a wonderful day ahead of you 🙂
Asante rafiki yangu pia,kwa mjadala huu. Uwe na mapumziko mema ya wiki. :smile-big:
Usijali rafiki...we all have different opinions...Have a wonderful day ahead of you 🙂
Sina personality hio mkuu mimi nikitaka kukwambia kitu nakwambia direct to you, i do not go into circles!!
Kwani unaona nimemquote nani?Then who were you talking about?
You didn't mention any names to buttress your point.
Kwani unaona nimemquote nani?
So???Unataka kumjibia ama???Mimi sijaongea na ww ningedhamiria kukuandikia ww ningekuandikia ww!!Mbona sehem nyingine zote nimekujibu nilipotaka kukujibu??Umemnukuu mtu aliyeninukuu mimi na ukazungumzia jambo nililolizungumzia mimi hapo awali.
Au kuna mwingine alilizungumzia hilo jambo zaidi ya mimi?
Kuna watu wapumbavu kabisa humu. Kwa kuangalia tu mabandiko ya watu kwao inatosha kujifanya wanaujua umri wa mtu.
Na kudhihirisha zaidi upumbavu wao, mtu unaweza hata ukatunga stori tuseme ya mwaka 1983 ukiwa Canada ukisoma shahada yako yako ya uzamili na hao wapumbavu wakaingia mkenge na kujifanya wanaujua umri wako kwa kuona tu umeandika hivyo.
Na hapo hata hawakujui, hawajawahi hata kukuona, hata ulichokiandika hawana uhakika nacho, lakini wanafikia hitimisho la kujifanya wanaujua umri wako.
Kibaya zaidi unakuta wanajiaminisha kabisa kuwa wanachokisadiki ndicho sahihi. Huo ni zaidi ya ujuha na ujinga. Ni upumbavu maradufu.
I usually don't put much stock into first impressions.
Think about it, what if you meet me on a day when things aren't going well and I'm kind of discombobulated and all that jazz.
rafiki, kujitambua kwa maana, kuishi kutokana na elimu, mazingira na umri wako, hapo ni kwa ufahamu mdogo tu...unaweza kuelezea nini maana ya kujitambua na ueleze ni vigezo gani unavitumia kujua kuwa huyu anajitambua au hajitambui
That is very true. I know myself better than anyone else and I know I have the responsibility of doing good to the youngsters. That said, I try my best to have an honest and simple life, without provoking the ones under me morally.
I do not accept the idea that someone should look up to me and aspire to be like me. Singling me out as an example limits his/her breadth and capability. Furthermore, since they arent in my shoes they might probably be selective of the aspects of my life that inspire them without really knowing what it takes and what it costs. This is a blunder as the two sides go together. In fact, most people who have role models are not informed about this sector of their role model's life or career or success. They simple generalize hastily that they want to be like whoever it is. Unless you know that person (or his/her relevant career or success story e.t.c) comprehensively and he or she has been completely honest and open with you all along, you can not and should not dare use him/her as a role model.
Otherwise, misleading statements like "Do as I say and not as I do" or "Copy the favorable and discard the others" will prevail.
I would rather tell a kid to create his own dream and build it rather than folllow someone's or my own footsteps without extensive and doubtless knowledge of the path. Circumstances always differ.
Are we brainwashed?
Mwalimu Mkuu wa mtoto ni maisha.
Kama hakupenda kusoma hata kwa viboko, maisha yatamfundisha pole pole kila siku umuhimu wa elimu.
Kama tabia yake ni mbaya, maisha yatamnyoosha.
Mzazi ana wajibu wa kufundisha tabia nzuri kwa vitendo. Mzazi ana wajibu wa kumpa mtoto elimu, mazingira mazuri na salama ya kuishi, upendo na chakula bora.
Lakini mwisho, Mwalimu Mkuu wa mtoto ni maisha.
Nakubaliana na wewe sana isipokuwa mstari wa mwisho. Siyo kwamba mwalimu mkuu ni mzazi?labda na taasisi zingine za socialization halafu maisha ni mtihani? Kujifunza kutoka kwenye maisha kunatakiwa kuchukue sehemu ndogo sana. Utafanya mambo mangapi kwenye hayo maisha ili ujifunze? nadhani tunahitaji kanuni tu maana kweli hakuna mzazi/mlezi anayeweza kutupa a, b, c,d za kila kitu. Kama mzazi kuna wakati unachoka kumuambia mtoto acha. Ukiona habadiliki unapima hatari ya kile kitu unachomuambia aache. Ukiona kwa mfano unahofia ataanguka na ataumia lakini hatavunjika unamuacha tu apande, aanguke, aumie ili ajifunze. Taratibu mtoto ataanza kujua kuwa kila kitu atakachofanya kina matokeo. Lakini kuna mambo ya msingi sana huwezi kumuachia mtoto afunzwe na maisha. Mfano huwezi kumuacha aonje sumu au hata kuikaribia ili aone kukata roho kunavyouma. Aisee hata kama jela itasaidia kumfundisha hicho kitu kama unajali utampeleka. Mtoto anayefunzwa na ulimwengu anaumia sana ukilinganisha na mtoto ambaye mzazi/mlezi amempa uwezo wa kupambana na maisha.