Mimi nimekaa hapa Houston kwa miaka 14 sasa na nimekuwa kwenye JF tangu 2006. Ukweli ndugu zangu ni kwamba hawa wanaojiita wana CCM ni wachache waliochoka maisha hapa. Ukweli ni kwamba ni loosers wa hapa Houston wanaotafuta njia za kwenda bongo na kwenye community yetu ya watu kama 500-1000 labda wapo kama 25 tu. Nape amekuja kupumzika hakuna siasa itakayofanikiwa USA labda DC na Columbus. Lakini advance community kama ya Houston never