Housigeli anataka kuniharibia ndoa yangu jamani

samahani fidel lakini huyo house girl si ndo kazi yake au?
 
Kama una uhakika anakuchonganisha na mumeo. Muondoe kazini haraka sana.
 
mie naona huyo mama mkwe hana haki ya kuingilia maisha ya mtoto wake..khaaaa
 
Mama Mia kama jipange upya na ndoa yako kama unahitaji tena kufundwa tutafute makungwi tumejaa kila kona ili urudishe heshima ya nyumba yako bibi..
 
Sina mengi.
Ila nimefall in love na avatar yako. Hebu niPM contacts zako ni do the needful.
Hahaha I know u r in love with it... you want it? ofcourse u can have it...remember? anything for u Chrispo anything at all !!! ok ntaku PM
 
Hahaha I know u r in love with it... you want it? ofcourse u can have it...remember? anything for u Chrispo anything at all !!! ok ntaku PM
Please usije ukakosea ukamkopi homeboi wangu Kaizer! He is as dangerous as Jacob Zuma!
 
Timua huyo house girl mapema mama usije ukajutia pale ambapo maji yakishamwagika hayazoleki!
 
Wanawake wengine mnakomaa na kuwazuia h/g kuingia chumbani kutandaika kitanda wakati
ninyi wenyewe hamtandiki,chumba kizima timbwili timbwili
wakati chumba cha h/g kimepangwa vizuri na kufagiliwa,
sasa hapo mama kama wewe ni mtu wa safari tegemea mzee kuwa anapumzika kwa h/g

Cha kufanya hapa ni wamama nao kujitambua,siku za mapumziko
pigeni kazi,angalau mme wako ajue wewe ni mpiga kazi na siku usipofanya
anajua wazi kwamba ni majukumu yamekubana.

Tatizo mnadai mko bussy ofisini,mishahara yenu haionekani,karo za watoto-mme,chakula na mavazi mme
kazi nyumbani afanye h/g ambaye naye mshahara analipa mzee,kitanda asipotandika baba kitatandikwa jmosi,
Huduma kitandani nazo mgogoro,hapo tegemea kusaidiwa na beki tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…