Bibi Kizee
JF-Expert Member
- Feb 18, 2008
- 211
- 10
Mimi sikusoma yote yaliyoelezwa na wanaJF huko kabla. Ila Mama Mia nina wasiwasi umekasmisha majukumu yako kwa house girl! Wanawake hasa kama ukivyosema kuwa ni mtu wakusafirisafiri unahatarisha ndoa yako sana. Unapokaa na msaidizi wako kuna mambo ambayo unatakiwa uwe na uhakika kuwa ni lazima ufanye even you are tired! Kumwandalia mumeo yafuatayo, kumpokea mumeo arejeapo (kumfungulia mlango na kupokea hata malboro alokuja nayo), maji ya kuoga, chakula, na kuhakikisha yuko smart kama vile shati na suruali ni safi na hata chupi yake ni safi, tai kama ni muhimu siku hiyo. Unapomwachia house girl kufanya haya unampa nafasi yeye kutangaza biashara yake.
Mfano, wewe umewahi nyumbani, bwana anakuja anafunguliwa mlango na house girl na labda alikuwa bafuni anajitupia ka kanga kamoja ka India, ameshakula blue band na uji wa mtoto hapo kwako na mbaya zaidi hajui kuwa ni kosa kuwa hivo. Mama wewe umelala chumbani, umechoka! Ooo baba karibu, pole na kazi, maji yapo bafuni nk. Unategemea nini? Mtu mzima anajiapiza kuwa hapo lazima amege japo kidogo!
Nitaendele jumatatu natoka kidogo. Weekend njema
mmmmmmm jamani hii sasa inachosha...last week nimenda kusaida ndoa ya rafiki yangu hgirl kalipuka....mmh jana napigiwa na mzazi wangu dadako uko kumefuka nini Mzee chupi ya HGIRL imekutwa chumbani.....sasa jamani ni njaa/ukame ama kuna ladha...,,tofauti..jamani wanaume kama ndoa inawashinda mnazikimbilia......za nini???
mmmmmmm jamani hii sasa inachosha...last week nimenda kusaida ndoa ya rafiki yangu hgirl kalipuka....mmh jana napigiwa na mzazi wangu dadako uko kumefuka nini Mzee chupi ya HGIRL imekutwa chumbani.....sasa jamani ni njaa/ukame ama kuna ladha...,,tofauti..jamani wanaume kama ndoa inawashinda mnazikimbilia......za nini???
Mhhhhhhh,naombeni mnielekeze namna ya ku post topic mpya humu,sielewi.
Mhhhhhhh,naombeni mnielekeze namna ya ku post topic mpya humu,sielewi.
Ma h/girls punguzeni speed;
...yaani nanihii mpaka akasahau chupi? no way bana...huenda kwenye kuanua nguo za maza hauz, chupi yake ikachanganyika nazo..
Mbona mu wepesi wa ku jump kwenye conclusions? π
samahani hivi kwa bibi ya house girl na ya mama mwenye nyumba zina tofauti gani? Na nasikia mke mzuri ni ambaye mchana ni house girl,magoli ya karibu ndio mazuri kufanyia mazoezi,pole zake!
Au tuseme panya kaibeba na kuihamishia chumbani kwa mzeeπ!
Hapa hakuna kibaya ni huyo mtoto aneyeshinda nae ndo kaipeleka hiyo chupi chumbani tusiwe wepesi wa kusema mzee kamega!
Hutaoa, lakini fainali uzeeni. ndio nyie mtakaokuja kuoa wasichana waduchu.Mie ndo mana sioi, no disappointment kwa mtu yeyote.