Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Na wewe mtege, vaa kanga tupu. Akitegeka basi atakurahishia kutongoza. Ila kumbuka una mke na kila utakachomfanya housegal kuna njemba huko kijijini inamfanyia hivyo hivyo.
Fanya ambacho wazee wanafanyaWakuuu salm! Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanya kazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahat mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala. Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee
Tatzo huwa tunakosea sana wengi, housemaid anakiwa kupewa muda japo weekend moja tu ashinde anakojua, ila by saa 1 jion ahakikishe amerejea home.Wakuuu salm! Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanya kazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahat mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala. Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee