Housemaid ananipigia simu kuuliza nipo wapi!

Housemaid ananipigia simu kuuliza nipo wapi!

Acha ufala na mawazo potofu, ushauriwe nn sasa hapo? Yy anataka kujua si umjibu nipo kazini? Usilete mada za kitoto huku, muulize mke uliyezaa naye, ndio maana hata ukatekelezewa mtt kutokana na akili yako ilivyo.

Hilo nalo wazo ahsante.
 
Kwani kunashida gani kukupigia simu...anataka kujua pia kama uko salana
 
wewe ndio umemleta mjini, wanadamu hupatwa na mengi huku njiani, sioni ubaya wa huyu binti kukuuliza kwa heshima ulipo na utakuja saa ngapi.
Wafanyakazi wa hivyo wachache sana.
 
Ongea nae ili asikuzoee sana maana itafika muda heshima itapungua.
 
Labda anataka kujua kama unakaribia kurudi ili ajue mtoto alale au asubiri kidogo ili angalau akuone
Labda anataka kujua aanze kukuandalia chakula au asubiri zaidi
Labda anataka kujua utachukua muda gani ili waji vinjari na dogo

Hizo zinaweza kuwa baadhi ya sababu. Ila ukitaka kujua, akikupigia muulize kwa nini anataka kujua, halafu mwenyewe pima kama ni haki au sio.

Umamemaliza mkuu
 
Mkuu pakaywatek I feel sorry na Sad !! Mtoto wako mwenyewe Unamdhulumu na unamkosea!!!

Kwanza umempokonya mama yake mzazi...Duuh ukamkabidhi mama HG.... !! (maadili)

Pili wewe hadi saa hizo za usiku hujamjaali mwanao, ambae ana lala bila kukuona...!! (facts)

Tatu Bila shaka yyte nyumba yako umeigeuza gesti.... !!! (asume)

Kirekebishe au jibadilishe.... mwanao mpe malezi bora na upendo!!
 
Last edited by a moderator:
Anakuuliza kwa ajili ya mwanao anaemlea, anaona ukitoka asubuhi ukirudi wameshalala.

Haujakaa na kucheza na mwanao kwa muda gani?
 
Mkuu pakaywatek I feel sorry na Sad !! Mtoto wako mwenyewe Unamdhulumu na unamkosea!!!

Kwanza umempokonya mama yake mzazi...Duuh ukamkabidhi mama HG.... !! (maadili)

Pili wewe hadi saa hizo za usiku hujamjaali mwanao, ambae ana lala bila kukuona...!! (facts)

Tatu Bila shaka yyte nyumba yako umeigeuza gesti.... !!! (asume)

Kirekebishe au jibadilishe.... mwanao mpe malezi bora na upendo!!

My friend zamaludi zamaludi yote hayo nazingatia kuhusu kumchukua mtoto kwa mama nilifwata sheria na ilibidi nimchukue.
 
Last edited by a moderator:
Hapa tutakuwa tunaeleza mambo kwa upande mmoja,maana hatujui kwa nini anafanya hivyo.

Safi sana, tunatakiwa tuwe fair katika ushauri sasa ushauri unaohusu pande mbili ni bora useme Ingawa sijui anachomaanisha labda endelea kuchunguza ujue a maanisha nini.
 
Miezi kadhaa imepita tangu niwe nae ambapo mama alimleta ili anisaidie kwa kuwa nina mtoto mdogo ambae nilimchukua kwa mwamamke ambae alikuaga mpenzi wangu tukaachana.

Ninachomshukuru ni kwamba amekua mwema kwa mtoto kiasi kwamba sijaona pengo la mtoto kutokua na mamake karibu hata mimi nimefarijika kwa huduma za ndani ambapo nikitoka sina wasiwasi huko nyuma.

Sasa kuna tabia kaianzisha ya kunipigia simu ikifika saa 2usiku ya kuniuliza niko wapi na nitakuja saa ngapi, hii kweli ni haki? Naogopa kumfokea anaweza kimbia akaniacha na mtoto ukizingatia pia nakaa na mdogo wangu wa kiume ambae anasoma.

Naombeni mnishauri nitumie njia ipi nimkanye kabla mambo hajaharibika.

ni upendo wa kawaida anauliza upo wap ili afanye maandaliz ya msosi na nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom