Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,099
na ww unaonekana tayari ndani yako umemkubali, sasa kama huna mpango nae wa kimapenzi, hakikisha unaweka mipaka. au kama nawe unampenda kabla hujamwambia akiwa ndani, mrudishe kwnz kwao, alafu ndipo uende kuchumbia ili atakapokuja ajue kabsa sasa anakuja kama mke.
zingatia by pastor illovo.
zingatia by pastor illovo.