Housemaid ananipigia simu kuuliza nipo wapi!

Housemaid ananipigia simu kuuliza nipo wapi!

Miezi kadhaa imepita tangu niwe nae ambapo mama alimleta ili anisaidie kwa kuwa nina mtoto mdogo ambae nilimchukua kwa mwamamke ambae alikuaga mpenzi wangu tukaachana.

Ninachomshukuru ni kwamba amekua mwema kwa mtoto kiasi kwamba sijaona pengo la mtoto kutokua na mamake karibu hata mimi nimefarijika kwa huduma za ndani ambapo nikitoka sina wasiwasi huko nyuma.

Sasa kuna tabia kaianzisha ya kunipigia simu ikifika saa 2usiku ya kuniuliza niko wapi na nitakuja saa ngapi, hii kweli ni haki? Naogopa kumfokea anaweza kimbia akaniacha na mtoto ukizingatia pia nakaa na mdogo wangu wa kiume ambae anasoma.

Naombeni mnishauri nitumie njia ipi nimkanye kabla mambo hajaharibika.
Mambo gani unategemea yataharibika? Mrejesho tafadhari.
 
Kama Anamlea Mwanao Vizuri Na Wewe Anakuonyesha Kukujali Huyo Ni Mwanamke Mwema...Muhamishie Chumbani Kwako Awe Mkeo Maisha Yenyewe Ndio Haya Haya Aisee...

Usisahau Kumuweka Sopu Sopu

Kama ana macho aione hii maneno na alete mlishonyuma!
 
she is caring about you since you are single !!!!! Its time to take action:A S-fire1:
 
kutanisha vikojoleo kaka, hiyo ndo atakulelea mwanao hadi ufurahi maisha yote, Mpe mtoto kama ZAWADI then oa
 
Huyo umeletewa mke na mamayako bila ww kujua anajifanya mwema akutege ishi naye kwa mipika
 
Hapa tutakuwa tunaeleza mambo kwa upande mmoja,maana hatujui kwa nini anafanya hivyo.

Kweli kabisa tueleweshwe na upande wa pili kwann unafanya hivyo. Pia umri wa Binti hatuujuwi alafu uliletewa na Mama yako Mzazi..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom