pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Miezi kadhaa imepita tangu niwe nae ambapo mama alimleta ili anisaidie kwa kuwa nina mtoto mdogo ambae nilimchukua kwa mwamamke ambae alikuaga mpenzi wangu tukaachana.
Ninachomshukuru ni kwamba amekua mwema kwa mtoto kiasi kwamba sijaona pengo la mtoto kutokua na mamake karibu hata mimi nimefarijika kwa huduma za ndani ambapo nikitoka sina wasiwasi huko nyuma.
Sasa kuna tabia kaianzisha ya kunipigia simu ikifika saa 2usiku ya kuniuliza niko wapi na nitakuja saa ngapi, hii kweli ni haki? Naogopa kumfokea anaweza kimbia akaniacha na mtoto ukizingatia pia nakaa na mdogo wangu wa kiume ambae anasoma.
Naombeni mnishauri nitumie njia ipi nimkanye kabla mambo hajaharibika.