munisijo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 1,127
- 944
Wengi wanawaita 'housegirls', mimi nawaita Dada ... na wale ninaowaita Kaka, wengine wanawaita 'houseboys'. Jana nikiwa njiani narudi nyumbani toka kibaruani, nilikumbuka mengi sana kuwahusu hawa watu, kwanini wengi wao ni wachapakazi na wenye nidhamu kubwa?? Ndio nakubali, wachache sana ni kero na balaa ndani ya nyumba.
Leo naomba nikumbuke, yale mazuri wanayoyafanya kuanzia kutulea, kutupikia, kutufanyia usafi, kukarimu wageni wetu, kutulindia mali zetu. Kwa upande wa dada zetu ... wengi walikua wema sana na kama binadamu wa kawaida, kinyume na mapenzi ya wazazi bali manani...mapenzi yalichipua! Pole kama mimba sisizo tarajiwa zilitokea lakini hongera nyingi kwamba watoto/ndugu wengi walipata wenza wema na hatimaye familia zenye heshima na furaha. Nakumbuka Baba yangu mmoja alianzisha ka-uhusiano na 'dada' wa jirani, walipendana kweli, soo kubwa likatokea lakini hatimaye ndoa ikafunga na leo namwita mama mdogo, namuheshimu na amekua sehemu muhimu kwa ukoo wetu.
Naamini mna mengi kuhusu hawa watu, Mmmh, kwetu kuna kipindi ilikuwa ni sherehe...kila mwaka kulikua na 'housegirls' zaidi ya 5 wakali wapya wanaingia mtaani, vijana ilikua ni kazi kweli kweli, nisameheni 'mchumba' wangu yumo humu JF hivyo sitasema nilifaidi kiasi gani kwa ugeni huo mwema ila ukweli utabaki pale pale, pamoja na changamoto nyingi wanazozipata, tutake tusitake, kwa kiasi fulani wameshepu maisha tuliyonayo sasa.....
Tupe experience yako kuhusu ma-housegirls? Ndio hata ma-houseboys? Acha kufikiri sana , najua una mengi moyoni.....ok, funguka ....