Housegirl

Mamilu

Member
Joined
Jul 16, 2012
Messages
47
Points
0

Mamilu

Member
Joined Jul 16, 2012
47 0
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA
 

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
5,141
Points
1,500

kbm

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
5,141 1,500
Acha wivu dada yangu, chapa kazi! tena husianze kumsumbua msichana wa watu, mfanye awd rafiki yako sana. Na wewe utimize wajibu wako kama ni mwanandoa. Maana nyie akina mama wa siku hizi mnajifanya wa kisasa sana, tena kupitiliza.
 

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,700
Points
1,500

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,700 1,500
Weka CCTV au umuulize swali hilo Mr. wako kwamba je kunausalama kweli jibu atakalokupa ndiyo sahihi kabisa. Mtunza usalama mkuu ni wewe na yeye Mr. wako. House Girl is just chachandu kwa mzee ukibugi kwa majibu ya short cut.
 

patrickk

Member
Joined
Jun 25, 2012
Messages
78
Points
0

patrickk

Member
Joined Jun 25, 2012
78 0
ila kama yuko bomba hapo unamtega mume wako, ntarudi baada ya wiki kutafta thread ya
MUME KAMBANDUA HOUSEGIRL WANGU

ushauri: jiulize mwenyewe, is it worth taking that risk kama ushapata mashaka mapema,ukipata jibu chukua hatua. au ajiri na house boy ili anamchunga huyo house girl
amchunge(ambandue)
 

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,477
Points
1,195

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,477 1,195
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA

Kwanza angalia tabia ya mumeo,
Je ni mtu wa kupendapenda ovyo.
Je ni mwaminifu kwenye ndoa yako.
Je anamazoea ya karibu sana na house girl.

Na kama unaona mambo hayaendi vizuri mpe onyo huyo HG
ikiwezekana na mumeo umweleze kuhusu tabia yake.
Ukiona mambo hayaendi ipasavyo mfukuze huyo HG.
 

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,314
Points
2,000

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,314 2,000
Word!

Mtu uache kujali watoto wako uanze kujali mtu mzima mwenye akili timamu. Basi ondoa na warembo wote barabarani na wateja wake kwenye biashara.

Mimi haya mambo ya kuwaza uzuri wa h/girl sijawahi hata.
Kwanza nina tabia ya kupenda kukaa na wadada presentable, si wachafu wachafu.

Acha upumbavu wewe....! Muhimu ni watoto au house girl??? Au mumee...jibu ni watoto mpende huyo dada watoto wako wawe salama mume kitu gani banaaa...
 

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
559
Points
0

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
559 0
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA


Kwa kifupi inaonekana wewe humuamini huyo mwenzio.Hivi kwani house girl anaweza tu from nowhere akakuchukulie huyo mwenzi wako kama sio mwenzi wako kulianzisha mwenyewe?? Kama humuamini mshkaji basi mrudishe kwao huyo housegirl bomba na utafute housegirl wa kawaida!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
11,077
Points
2,000

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
11,077 2,000
Sharing is caring!!.........Kama ni bomba mbaya zaidi yako na wewe mumeo unamjua no lemberling (alembi) bora mtimue mapema kabla ajakuletea kadogo ka watoto wako!
 

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,523
Points
1,225

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,523 1,225
Kweli siku hizi ndoa hazina maana kabisa,unakubali kuolewa huku ukiwa huna uhakika na mwanaume ambaye unaolewa nae ni tatizo.

Hivi kabla ya kuolewa zile kitchen party huwa mnafanya za kazi gani?Maana wanawake wengi wa siku hizi hawana wanachojua kuhusu maisha ya ndoa na wamebaki kuwa wachunguzi wa maisha ya waume zao na kubakia kujipa presha kila siku,kama mumeo alikuoa wewe na kuwaacha wanawake wengine na hakushurutishwa na mtu au kitu una haja gani ya kuwa na wasiwasi nae?
Nyie wanawake mnapokuwa na wasiwasi ndio huwapa wanaume nafasi ya kutoka nje maana ndani ya wasiwasi mapenzi yanapungua na mnashindwa kufanya majukumu ya ndani ya ndoa.

Mheshimu mumeo na mwamini kama ulivyoapa wakati unaolewa maana kama wanawake wazuri anawaona kila siku kwenye biashara zake tena wazuri wa haja si huyo mdada wako wa hapo nyumbani ambaye hayafikia viwango vya kumpagawisha mumeo kiasi cha kutaka kutoka nae.
Mwanamke mwerevu huijenga ndoa na nyumba yake bali mwanamke mjinga huibomoa ndoa na nyumba yake.
 

Forum statistics

Threads 1,390,629
Members 528,220
Posts 34,056,986
Top