Housegirl

pole sana
hii usiwe km kawaida kwa wanaume wote,

vip utaruhusu mdogo wako wa kike aje akae kwako, ambae unahis analipa kuliko ww?


Unafikiri ni swala la kulipa basi, ni udhaifu tu wa baadhi ya wanaume. Note nimetumia neno BAADHI. Lakini na micharuko ya mabinti, kwa case ya msichana wangu wa kazi; alikuwa ni mtegaji mzuri tu, kanga moja and the like.

Anyway, mleta mada. Wasichana wazuri nao wana haki ya kufanya kazi, na mwanaume kama ni kitombi, sura au muonekano sio kigezo sana; kwake yeye kila shimo ni sehemu ya hifadhi. So wewe unamjua vizuri mumeo, kama ni dhaifu ni bora usiwe na mdada wa kazi kabisa. Tafuta mvulana au mbibi wa kwenda na kurudi.

Hao wanaokwambia anakutana nao hata njia, usiwasikilize. Wa ndani ni rahisi zaidi tena haihitaji kujificha hotel au kuingia gharama kubwa za dinner na vingine kama hivyo. So chukua hatua stahiki.
 
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA
sasa msaada wangu kwako ni-pm then nitakusaidia kumfanya HG wako asipate asipate tamaa hata mumeo akimtokea apigwe kibuti
 
muite, uongee naye kama binti yako halafu umwambie jinsi gani unamuona kama binti au mdogo wako na umwambie jinsi gani wanaume wanakuwa dhaifu; so awe makini just in case baba anaanza kumwangalia kwa macho ya uchu. Muibie siri kuwa 'mumeathirika' na kwamba hupendi naye awe victim.[/QUOTE]

kwi kwiiiiiiiiii.... hapo pa bluu umenichekesha. BTW kama ana uelewa mdogo kuhusu ukimwi si ndo utakuwa ume mkimbiza... ataogopaje.
 
kwa nini hujiamini mwanamke!da z ur husband y dont u trusting him coz if u think unaibiwa bas even u unaiba,so dont worry kakupenda ndiol maana kakuoa without any shinikizo kwa mtu yeyote,,upo bibi......................................
 
Mie nakushauri timiza mambo ya ndoa ili mwenzako asishawishike. Mie mke wangu alikuw ana tabia mara nyingi tu nimechoka mara tufanye asubuhi mara napata bao moja tu naambiwa hiki sio chakula. HG wangu wala hakuwa mzuri ila sikuotea vizuri nikapigwa kibuti na mke wangu akaambiwa....big soo. wanawake jitaidini muwe kama nyumba ndogo, muwe mnatukea kama tunavyowakea!
 
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA

...ayaaaa weee...una hatari wewe!...jiandae wewe kuwa house girl na house girl kuwa mother house...
...presha inapanda...presha inashuka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom