housegirl ni Mke mwenzio!!!!!!!!

Hata mimi sijawahi elewa kazi ya housegirl, niseme tu ukweli
Labda hapo baadae nitakapo kua na kazi, familia na mengine
I think ni suala la organization na role distribution ndani tuu.
haswa, hamna umuhim wa housegirl kama mko wawili tu ndani ya nyumba, kama una watoto na una kazi hapo ndi[po uanpomhitaj housegirl na ni ka ajli ya kukusaidia na mtoto,
 
Mie naona ni uvivu na kujiendekeza! Kuna wengine wana watoto I can
understand, ila uko wewe na mumeo tu ama wewe peke yako eti house
gal. kwa raha justification ipi?
ni kweli kabisa huku ni kujiendekeza tu, kuna mtu yuko home full tym bt anataka housegirl, ni kitabia ambacho kinacost kwa kweli
 
Mie naona ni uvivu na kujiendekeza! Kuna wengine wana watoto I can
understand, ila uko wewe na mumeo tu ama wewe peke yako eti house
gal. kwa raha justification ipi?

Main reason kwangu mimi, ni kuwa na mtu wa kuangalia nyumba! Kwani kazi yangu inanitoa nje ya nyumba often (75%) of my time!
 
mimi ni mwanaume lakini ninaposikia wanaume wanaacha wake zao wanatembea na mahouse girl hua siwaelewi na nitakua nawadharau siku zote...SHAME ON THEM!!:angry:
 
Main reason kwangu mimi, ni kuwa na mtu wa kuangalia nyumba! Kwani kazi yangu inanitoa nje ya nyumba often (75%) of my time!

...pamoja na hayo unahitaji kuwa naye?
 
Yes; ndiye anayeangalia/kulinda nyumba! Alternative yake, niweke Mlinzi wa mchana na usiku which l can not afford!

..Na kuna wengine kazi zao zinawafanya wachoke sana kiasi ambacho wakirudi nyumbani wanahitaji msaada wa hapa na pale lakini wengine ndio inakuwa basi tena wanasahau wajibu wao kila kitu kuanzia J'tatu hadi J'pili wanamuachia HG.
 
Wewe uliyepata UJASIRI kuandika haya na huyo ,mwandishi wa haya WOTE mwaitaji kupimwa akili .... na mie labda ningeshauri mwende Manyara pale mkishavuka gate pana NYANI wengi sana, PENGINE NYIE SPECIE YENU Ndo ILE MKAISHI NAO, wale ndo wana MAWAZO KAMA HAYA.

Mama kama unataka ndoa yako idumu na mume wako  akupende sana, kama una haousegirl jitahd kumkabidhi mzee atembee nae huko huko ndani,na usimnyanyase kwa kuwa ni mke mwenzio wa ukweli, mume atakupenda na utakuwa mwanamke a pekee. Mume atakuwa nawah kurudi nyumbani na kingine mshauri aongeze mke muwe wawili watatu ili usijisahau na usiwe na wivu kwa sababu wivu kwa mwanamke hauruhusiwi wivu ni kwa wanaume tu. ( si maneno yangu hayo wanajamvi ni maneno ya bwana anayejiita NABII TITO ameyaandika kwenye kijipamphlet chenye title KUNYWA POMBE NA KUZAA NA HOUSEGIRL SIO DHAMBI KABISA.)
 
Yote anayofanya "housegirl" nayafanya mimi mwenyewe.

Kama shida ni mtu wa kuangalia mtoto, well, nampeleka daycare/preschool.

Sasa unakuta wengine hata hawana watoto lakini wana "housegirl". Really?

Sijawahi kuajiri "housegirl" na sitakuja kuajiri "housegirl".
TENA SIO HOUSEGIRL MMOJA.... sometimes wanakua hata na wawili, shamba boy, mlinzi nk

it is a sign of incapable couple and we think it is the way to enjoy your wealth
 
..Na kuna wengine kazi zao zinawafanya wachoke sana kiasi ambacho wakirudi nyumbani wanahitaji msaada wa hapa na pale lakini wengine ndio inakuwa basi tena wanasahau wajibu wao kila kitu kuanzia J'tatu hadi J'pili wanamuachia HG.

B wengine hata chumbani wanafanyiwa usafi na kutandikiwa kitanda uvivu uliozidi
 
B wengine hata chumbani wanafanyiwa usafi na kutandikiwa kitanda uvivu uliozidi

Ni kweli kabisa B...njemba mmoja alikuwa anatandua kitanda kila kinapotandikwa na HG mpaka mke akaelewa somo.
 
Ni kweli kabisa B...njemba mmoja alikuwa anatandua kitanda kila kinapotandikwa na HG mpaka mke akaelewa somo.

Kwa wale wenye watoto wanawaachia HG kwa kila kitu yeye kazi yake kumbebe mara 1
Kumuhudumia wala anaita HG kweli huwa haipendezi mwanaume anaangalia hayo yote ndipo aunachanganya na zake
 
Kwa wale wenye watoto wanawaachia HG kwa kila kitu yeye kazi yake kumbebe mara 1
Kumuhudumia wala anaita HG kweli huwa haipendezi mwanaume anaangalia hayo yote ndipo aunachanganya na zake

...Watoto wengine hadi hudhani kwamba HG ndio mama yao!!!
 
Kwa wale wenye watoto wanawaachia HG kwa kila kitu yeye kazi yake kumbebe mara 1
Kumuhudumia wala anaita HG kweli huwa haipendezi mwanaume anaangalia hayo yote ndipo aunachanganya na zake

BW
Acha kuhalalisha cheating ya wanaume bwana; hivi hawa wanaume wa kitanzania wanaojifanya kuwahurumia HGs, why don't they wahurumia na wake zao? Mume gani anamsaidia mkewe japo weekend kulea/kuangalia watoto?

Sisemi kuwa HG ndio afanye kila kitu, lkn mwanamume hana moral justification ya kutembea na HG kisa katandika kitanda.

BAK
Huyo jamaa yako aliyekuwa anavurugua kitanda; kama ana mikono na nguvu ya kuvurugua; kwanini asitumie resources hizo hizo kutandika?
 
Last edited by a moderator:

Kaunga sijahalalisha cheating ninachosema baadhi ya wanawake waache uvivu kutaka kufanyiwa kila kitu wakati mwingine jishughulishe kuliko kijipweteka unaletewa chakula mkononi
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wenye watoto wanawaachia HG kwa kila kitu yeye kazi yake kumbebe mara 1.....mwanaume anaangalia hayo yote ndipo aunachanganya na zake

Hapo ndipo unapowapa justification wanaume kwa maneno yako, 'kuchanganya na zao'

To me; mwanaume alipaswa kumsaidia mkewe; na si kumuacha ahangaike na mishughuli ya mchana kutwa, akisuburi na ya usiku na bado kuamka na kum-nurse mtoto au kumbembeleza akiwa analia!

Try to understand wanawake kama unavyojitahidi kuwa understand wanaume; hapo ndipo utaweza washauri kuhusu habari ya kuwajibika na kutreat maHG vizuri!
 
BW
Acha kuhalalisha cheating ya wanaume bwana; hivi hawa wanaume wa kitanzania wanaojifanya kuwahurumia HGs, why don't they wahurumia na wake zao? Mume gani anamsaidia mkewe japo weekend kulea/kuangalia watoto?

Sisemi kuwa HG ndio afanye kila kitu, lkn mwanamume hana moral justification ya kutembea na HG kisa katandika kitanda.

BAK
Huyo jamaa yako aliyekuwa anavurugua kitanda; kama ana mikono na nguvu ya kuvurugua; kwanini asitumie resources hizo hizo kutandika?

well said my dear Kaunga hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha cheating ya mwanaume! Tatizo letu hua tunapenda kwa kuwatreat wanaume kama Mungu,akifanya yeye ni sahihi ila akifanya mwanamke ni dhambi lol!ndo mana wanawake tunaonewa sana kwenye mahusiano..tumeshajijengea kua sisi na wadhaifu na wanaume wanatumia sababu hiyo kutudidimiza zaidi..
Unakuta mume na mke wote wanaenda kazini na wanarudi kwa wakati mmoja lakini baada ya kurudi mume anaweka mguu juu anasoma gazeti/anaangalia tv,mke ndo wakufanya kila kitu kwa nini asitafute housegal wa kumsaidia??..
 
Last edited by a moderator:
Huyo nabii anafanya biashara tu,na amejua akihalalisha uzinzi na ulevi ndio atauza zaidi..
 
Hapo ndipo unapowapa justification wanaume kwa maneno yako, 'kuchanganya na zao'

To me; mwanaume alipaswa kumsaidia mkewe; na si kumuacha ahangaike na mishughuli ya mchana kutwa, akisuburi na ya usiku na bado kuamka na kum-nurse mtoto au kumbembeleza akiwa analia!

Try to understand wanawake kama unavyojitahidi kuwa understand wanaume; hapo ndipo utaweza washauri kuhusu habari ya kuwajibika na kutreat maHG vizuri!

Kaunga swala la mwanaume kukusaidia ni vile mtakavyokuwa mmekubaliana mie ninachozungumzia hapa hawa wasaidizi wetu tuwasaidie nao sio kila kitu tufanyiwe kwa nijuavyo mie nyumba ni mama kwa maana ya kwamba usafi,mazingira,watoto na mengine hata kana baba atashiriki lakini wajibu mkubwa unabaki kwa mwanamke na ndivyo msfundisho ya kitchen party wanazokwenda
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom