Housegirl na Mzungu

Housegirl na Mzungu

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
House girl alipewa kazi na mzungu, mara akavunja sahani.


Mzungu aliporejea: What happening with my plate?


House girl: The dog wowoww friji paaa, mchuzi mwaaaa the sahani ngelengenjee,,...!! basI hayaa
 
Huyo HG atakuwa ni MAIMUNA tu!
Na ndo miongoni waliochora maZOMBIE...
 
Hahahaaa Boflo utafanya mbavu zichomoke wallahii hahahahaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha haaaaaa Boflo oooooooo!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahha njengelenge..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
House girl alipewa kazi na mzungu, mara akavunja sahani.


Mzungu aliporejea: What happening with my plate?


House girl: The dog wowoww friji paaa, mchuzi mwaaaa the sahani ngelengenjee,,...!! basI hayaa

Wamekutana mzungu hajui kingeleza, hg nae hajui ngoma draw "What happened to my plate?" na wala siyo kama iyo yenye red color haswa haswa 'with my plate'
 
we mkali chief af nilikuwa na hasira za kumwagiwa maji imebidi hasira itoweke ghafla
 
:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::tape2::tape2::tape2:

Wamekutana mzungu hajui kingeleza, hg nae hajui ngoma draw "What happened to my plate?" na wala siyo kama iyo yenye red color haswa haswa 'with my plate'
 
haaaahaaaa uuuuwiiiii mbavu zangu jamani duuuu hg noma
 
Back
Top Bottom