Mkuu kauli kama hii nilikuwa naisubiri kwa muda mrefu kutoka kwako!nashukuru sana mungu akubariki!!
ubarikiwe mkuu,tuko pamoja kwa sala
Mkuu kauli kama hii nilikuwa naisubiri kwa muda mrefu kutoka kwako!nashukuru sana mungu akubariki!!
Nataka kufanya hivyo kwa sababu nikimuacha ataenelea kuivuruga familia yangu!!nashukuru sana kwa ushauri wako!!Kwa nini unataka kumfukuza huyo mlinzi? Je ni kwa sababu amekula tunda la maspap au ni kwa sababu amekula matunda ya wote yaani mamsap and house girl? Mimi nashauri uwafukuze wote wawili yaani house girl and mlinzi halafu umuombe msamaha mke wako na pia umtake akuombe msamaha.
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!
Mmmmh!
Umeziamulia Leo sredi za mahausigelo!