Housegirl kanichanganya sana!

Kwa nini unataka kumfukuza huyo mlinzi? Je ni kwa sababu amekula tunda la maspap au ni kwa sababu amekula matunda ya wote yaani mamsap and house girl? Mimi nashauri uwafukuze wote wawili yaani house girl and mlinzi halafu umuombe msamaha mke wako na pia umtake akuombe msamaha.
Nataka kufanya hivyo kwa sababu nikimuacha ataenelea kuivuruga familia yangu!!nashukuru sana kwa ushauri wako!!
 
Wewe kama mkuu wa familia una 'say' hivyo amka asubuhi mwambie ajira yako leo mwisho na unampa 24hrs notice. maadam anajua kua anamchakachua mkeo hatakua na kipingamizi kuondoka.
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu!!
 
this is tru broda, mjomba TUKUTUKU theres no other better ushauri than this one. Ufanyie kazi mkuu but omba msamaha pia kwa MWENYE ENZI atupaye pumzi.
Thank you for showing me ,the way forward!!
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!

Ukimpa mimba nakuomba usimtupe maana nyie wanaume za watu ndo tabia zenu kuwatupia vilago
 
em acheni hizi thread za 2011 zipotee bna, kuziona kwenye new post zinaboa... acheni kucomment
 
Kila mla cha mwenzake na chake pia huliwa najua kwako inauma mara mbili ila kubali matokeo
 
Majanga juu ya majanga ngoma droo wote mmeoana tabia zinafanana poleni sana
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!

unajichanganya sana
 
Hapo kidume ni mlinzi!

Kangonoka na mke wa boss pamoja na mjakazi mwenzie ambaye boss alidhani anajisevia peke yake! Hapo pa kuanzia ni kujifukuza mwenyewe tu maana sioni unaanzaje kumfukuza mlinzi na/au h'g! Unajenga hoja gani mbele ya "mkeo"?
 
Back
Top Bottom