Housegirl kanichanganya sana!

Housegirl kanichanganya sana!

Mbona unanikejeli mkuu!naomba ushauri wako mwenzio nina matatizo!!

tena una matatizo zaidi ya unavyodhani maana madhara ya muyatendayo ni zaidi ya umauti.tafuta hadithi ya mmiliki wa ghorofa la changombe lililoporomoka miaka ya nyuma utajua namaanisha nini:rain:
 
mpaka dunia ivae suruali maana sasa imevaa bukta:hand:

Nakushauri ufunge ndoa!waswahli wanasema vingaavyo vyote si dhahabu!si ndoa zote zina matatizo!unaweza kufurahia ndoa katika maisha yako!muombe mungu!
 
tena una matatizo zaidi ya unavyodhani maana madhara ya muyatendayo ni zaidi ya umauti.tafuta hadithi ya mmiliki wa ghorofa la changombe lililoporomoka miaka ya nyuma utajua namaanisha nini:rain:
Sawa mkuu nakushukuru!lakini elewa mwenzio nazama nahitaji msaada wako ili niokoke!!
 
Nakushauri ufunge ndoa!waswahli wanasema vingaavyo vyote si dhahabu!si ndoa zote zina matatizo!unaweza kufurahia ndoa katika maisha yako!muombe mungu!

haaahhaha nani amekuambia kutokuwa na ndoa sina furaha,nna furaha zaidi ya mlio kwenye ndoa na namshukuru mungu kwa hilo:rain:
 
So far sijaamua uamuzi wowote,lakini kuna wana JF wamenishauri niwe mkweli na kukaa na mke wangu tujadili hili suala kwa kina na kukubaliliana sote tuna makosa na kuangalia ni namna gani ya kuanza maisha mapya!kitu kinachonishinda hapa ni nmna ya kuanzisha mjadala kwa kuwa sina ushadi wa kutosha kama kweli mke wangu alishatembea na mlinzi wangu!

Lakini wewe si una uhakika kama ulitembea na hause girl wenu? Omba msamaha wewe sio lazima yeye awe ametoka na mlinzi unachotaka wewe si ni amani?? Mtakapokaa na kuongea ndo utajua hapo hapo kama amewahi au hajawahi.
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!

Dah! Hii kali! Kwa maoni yangu ukiamua kumfukuza mlinzi pia umfukuze housegirl maana umekubali hapa mbele ya kadamnasi kwamba penzi alilokupa lilikuwa ni tamu sana kuliko la mkeo na Waswahili husema, "Muonja asali haonji mara moja." Huna sababu nzuri ya kumfukuza kazi mlinzi kwa sababu ni mchapa kazi mzuri na si ajabu hakuna sababu nzuri ya kumfukuza kazi HG labda naye anachapa kazi yake vizuri, hivyo ni bora kuwa mkweli tu na kumueleza ukweli mkeo sababu halisi za kuamua kuwafukuza kazi ili mjaribu kuinusuru na kuijenga upya ndoa yenu (kama itajengeka). Kila la heri.
 
haaahhaha nani amekuambia kutokuwa na ndoa sina furaha,nna furaha zaidi ya mlio kwenye ndoa na namshukuru mungu kwa hilo:rain:
Sawa mkuu naheshimu mawazo yako!!
 
Halafu kama hii ni stroy ni kweli basi una elements za uchoyo fulani hivi katika mapenzi...mimi nilitaraji useme kuwa utawafukuza wote wawili yaani mlinzi na HG ili kujiokoa wewe na upande wa pili mkeo. sasa wwe unataka umfukuze mlinzi ili ubaki na HG ili uendelee na HG wakati huo mkeo akimkosa Mlinzi wake?? Think twice Mpwa, kama vipo waache wote wawili, sawa kaka...sipo tayari kukuona unamuacha na HG.
 
Dah! Hii kali! Kwa maoni yangu ukiamua kumfukuza mlinzi pia umfukuze housegirl maana umekubali hapa mbele ya kadamnasi kwamba penzi alilokupa lilikuwa ni tamu sana kuliko la mkeo na Waswahili husema, "Muonja asali haonji mara moja." Huna sababu nzuri ya kumfukuza kazi mlinzi kwa sababu ni mchapa kazi mzuri na si ajabu hakuna sababu nzuri ya kumfukuza kazi HG labda naye anachapa kazi yake vizuri, hivyo ni bora kuwa mkweli tu na kumueleza ukweli mkeo sababu halisi za kuamua kuwafukuza kazi ili mjaribu kuinusuru na kuijenga upya ndoa yenu (kama itajengeka). Kila la heri.
Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri,mungu akubariki!!
 
Lakini wewe si una uhakika kama ulitembea na hause girl wenu? Omba msamaha wewe sio lazima yeye awe ametoka na mlinzi unachotaka wewe si ni amani?? Mtakapokaa na kuongea ndo utajua hapo hapo kama amewahi au hajawahi.
Sawa mkuu!hapo umenipa namna nzuri ya kuanzisha mjadala!,mungu akubariki!
 
Halafu kama hii ni stroy ni kweli basi una elements za uchoyo fulani hivi katika mapenzi...mimi nilitaraji useme kuwa utawafukuza wote wawili yaani mlinzi na HG ili kujiokoa wewe na upande wa pili mkeo. sasa wwe unataka umfukuze mlinzi ili ubaki na HG ili uendelee na HG wakati huo mkeo akimkosa Mlinzi wake?? Think twice Mpwa, kama vipo waache wote wawili, sawa kaka...sipo tayari kukuona unamuacha na HG.
Mimi nipo tayari kuwafukuza wote kama itakuwa ndio suluhisho la tatizo!wasiwasi niliokuwa nawo ni kuwa mke wangu atamkingia kifua mlinzi nitakapotaka kumfukuza,kwa kuwa ni mpenzi wake wa siri!
 
MKUU POLE SANA KWA TAMAA ZAKO!PILI LABDA NIKUULIZE HUYO BEKI TATU ANA UMRI KWANZA,TATU, NI NINI KIMEKUFANYA UTEMBEE NA HUYO BEKI TATU WAKO,NI KIPI KILICHOKUVUTIA MAPAKA UKALALA NAYE?NI UMBO AU

USHAURI;
MFUKUZE KWANZA HUYO BEKI TATU
KISHA MFUKUZE NA MLINZI :usa2:

Mkuu ni tamaa tu hakuna cha ziada!!nashukuru kwa ushauri wako!
 
Ni kweli nimezama lakini mungu ataniokoa!!

nakuombea mpendwa wangu inaonekana una nia ya dhati,utaokoka na hili na mengine zaidi ila vunja ukimya na mama watoto nna imani mtafikia muafaka utakaojenga zaidi ya kuwaondosha kwa hila,halafu mmoja akaamua kujisevia kwa pembeni
 
Huyo mlinzi unamlipa au anakulipa wewe mshahara??amka asubuhi moja just sema kuanzia sasa sitaki kukuona ktk nyumba hii,tena mtoe baruti kali,ila uhakikishe kuwa ni kweli kuwa alishatembea na hg na wife wako,then muite hg wako nae mtimue kwa sytle ileile uliyomfanyia mlinzi!hapo ndio wana jf tutauelewa msamaha wako!
baada ya hili zoezi muite wife wako na umueleze kila kitu kuhusu wewe kutembea na hg wako na yeye kutembea na mlinzi.then kubalianeni kuanza upya kwa kuwa mko ktk ndoa!na hao wote waliwakuteni nyie na maisha yenu!!afu mkuu si vyema kuchakachua ma hg huo ni udhaifu wa kutumia ignorance ya mtu!AIDS KILLS
Ni kweli mimi namlipa mshahara!lakini naogopa upinzani kutoka kwa mke wangu!nashukuru kwa ushauri wako!!
 
nakuombea mpendwa wangu inaonekana una nia ya dhati,utaokoka na hili na mengine zaidi ila vunja ukimya na mama watoto nna imani mtafikia muafaka utakaojenga zaidi ya kuwaondosha kwa hila,halafu mmoja akaamua kujisevia kwa pembeni
Mkuu kauli kama hii nilikuwa naisubiri kwa muda mrefu kutoka kwako!nashukuru sana mungu akubariki!!
 
Back
Top Bottom