Housegirl kanichanganya sana!

Housegirl kanichanganya sana!

Ushakiri ni mchapa kzi mzuri kwann unataka kumtimua?
Mwache achape kazi yake vizuri hadi kwa MKEO coz umezoea vi House Gal ndo size yako!!!
Wewe hunitakii mema,naomba ushauri wa kujenga upya familia yangu!
 
Hiiiiiiiiiiii storiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ilinifanya nikashindwa kulala usikuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Kumbe ulitungaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, uwe unapeleka kuleeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwenyw umbea, umesikiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mh sasa mnaoa au kuolewa ili iweje hahahahaha heri yetu masingo tunakula kitu roho inapenda,mnakaba mpaa beki tatu kweli wamero:hand:
Ahahaha!unatisha mkuu,bado upoupo mbaka lini?
 
Hiiiiiiiiiiii storiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ilinifanya nikashindwa kulala usikuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Kumbe ulitungaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, uwe unapeleka kuleeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwenyw umbea, umesikiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuwa na imani mkuu,nani kakwambia nimeitunga.Hii ni kweli kabisa.Kwani toka uwepo hapa duniani ujasikia mtu anatemea na housegirl wake!kuwa na imani mkuu,haya mambo yapo!!
 
Sawa TT, niambie umefikia uamuzi gani mpaka sasa?
 
So far sijaamua uamuzi wowote,lakini kuna wana JF wamenishauri niwe mkweli na kukaa na mke wangu tujadili hili suala kwa kina na kukubaliliana sote tuna makosa na kuangalia ni namna gani ya kuanza maisha mapya!kitu kinachonishinda hapa ni nmna ya kuanzisha mjadala kwa kuwa sina ushadi wa kutosha kama kweli mke wangu alishatembea na mlinzi wangu!
 
Fukuza na house girl maana ukimfukuza mlizi peke yake huenda ukaendelea na hiyo tabia.
Kitendo cha kutembea na wafanyakazi wenu ni aibu kubwa....
Yafaa mkiri makasa yenu na muaze upya maisha maana hayo ya sasa ni hatari tupu, mwaweza kujikuta mnateketea kwa magonjwa hatari wakati wowote.

Acheni kujitegemeza wenyewe...Mrudueni muumba

Nashukuru kwa ushauri wako mkuu,mungu akubariki!!
 
So far sijaamua uamuzi wowote,lakini kuna wana JF wamenishauri niwe mkweli na kukaa na mke wangu tujadili hili suala kwa kina na kukubaliliana sote tuna makosa na kuangalia ni namna gani ya kuanza maisha mapya!kitu kinachonishinda hapa ni nmna ya kuanzisha mjadala kwa kuwa sina ushadi wa kutosha kama kweli mke wangu alishatembea na mlinzi wangu!

Fanya hivyo fasta kabla ya mlinzi hajakuleta maradhi nyumbani kwako...maana kwa hesabu za fasta fasta ni kwamba jamaa kama ana mke basi ameshatembea na wanawake watatu, au anatembea na wanawake watatu hadi sasa; mkeo ( ambaye anampenda sana, your HG na Mkewe au vidosho wengine wa nje, pengine hata jana mkeo alikua nae pale ulipoondoka kwenda kwa rafiki yako
 
Ukiwa mchafu utavuna uchafu....

Inaelekea wewe uko na pepo mbaya na huyo pepo anawatafuneni na kuwavuruga.NA BADO!
Sawa mkuu,lakini bado ujanipa ushauri wowote zaidi ya kusema maneno makali!!
 
Fanya hivyo fasta kabla ya mlinzi hajakuleta maradhi nyumbani kwako...maana kwa hesabu za fasta fasta ni kwamba jamaa kama ana mke basi ameshatembea na wanawake watatu, au anatembea na wanawake watatu hadi sasa; mkeo ( ambaye anampenda sana, your HG na Mkewe au vidosho wengine wa nje, pengine hata jana mkeo alikua nae pale ulipoondoka kwenda kwa rafiki yako
Poa mkuu,nashukuru kwa ushauri wako,nitajitahidi kufanya mamuzi haraka iwezekanavyo!!
 
Back
Top Bottom