Housegirl au Houseboy yupi bora?

Nani anahatarisha ndoa
naona anahatarisha ndoa baba mwenye house kumtaka housegirl na sio house girl mana yy hana makosa bali faza house atamtisha hapo kila cku mpaka apewe anachokitaka loh! hakuna watu wenye tabu kama ma housegirl hapa duniani bora hata houseboy
 
mpz upo mzima ww mana long kinoma hatujakuatana naona nikiingia ww watoka .................uko poa lkn

nipo poa dear, sijui tunapishanaje wakati mwenzio nakesha na kulala humu humu hadi nataka niombe kazi ya u-mod.lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom