Huyu jamaa atakuwa mwajiri anaelipa kima cha juu kabisa cha mshahara kwa hesabu zifuatazo;
Mtu wa kazi lazima alale nyumbani kwako. Tunaanza hesabu sio kuongea ongea tu huna data
a. Kulala siku 30@ guest kwa siku 5000/= 150,000/=
b. Chakula
Chai ya maziwa na kitafunwa fanya 2000/= kwa siku 30=60,000/=
Chakula cha Mchana fanya 2500/= kwa siku 30= 75,000/=
Chakula cha usiku fanya 2500/= kwa siku 30=75,000/=
Sasa chukua
Jumla ya (a+b)= 150,000/=+150,000/=
300,000/=
Chukua hela cash ya mshahara ukijumlisha na hiyo ni 360,000/= ni hela ndogo hiyo???
Hapo sijajumlisha hela ya umeme, maji, king'amuzi, sabuni, mafuta ya kujipaka, offer nyingine na mzagazaga mara apande gari la boss wake mara umpeleke mjini mara umtumie mtu vocha mara umlipie michango ya kijiji na mwenge na tozo utaweza kweli?
Mkuu punguza mshahara