Houseboy anahitajika Moshi

Houseboy anahitajika Moshi

Houseboy mwenywe kujielewa anahitajika moshi
Marangu kilema
Awe na umri 20-35
Awe muaminifu ana
Awe na afya njema

Majukukumu
Kukatia majani
ngombe 1
Mbuzi 4
Kulima shambni msimu wa kilimo tu

Salary 60000 per month

Call& whatApp 0764616353
Leta picha ya mkeo na binti zako nione kwanza kama ni pisi basi mshahara usiangaike nitafanya kazi bure kabisa... [emoji23] [emoji23]
 
60000 ni 2000 kwa siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nganchoka tiki.

Akiamka Asubuhi saa 12 na lile baridi. Akamue maziwa akimaliza atoe mbolea.
Akatafute majani na makocha akakatie mbuzi na ngombe.
Mchana apumzike kidogo ale cha mchana. Saa tisa akatie tena majani ya ngombe. Hapo afanye shughuli za home.kupasua kuni na usafi. Na kutumwa dukani akalete nyama. Saa 12 ndo aende club akapate mbege saa moja arudi kufungia mbuzi warudi ndani na akamue tena. Saa mbili akalale.

Alafu umlipe 2000 kwa siku. Nyie wachagga wa marangu huo ni utumwa aise. Ongezeni hapo hadi 200000 niwaletee houseboy mwenye bachelor degree.
Yani na kulima juu...umesahau hicho kipengere
 
Houseboy mwenywe kujielewa anahitajika moshi
Marangu kilema
Awe na umri 20-35
Awe muaminifu ana
Awe na afya njema

Majukukumu
Kukatia majani
ngombe 1
Mbuzi 4
Kulima shambni msimu wa kilimo tu

Salary 60000 per month

Call& whatApp 0764616353
Huo ni unyonyaji
 
Duh si mauaji hayo 60000 kwa mwezi
Ukienda unatia mimba ndugu yake wakike halafu unatoroka nisehemu ya malipo pia!.. kikubwa uombe wasianze kukutafuta kwa njia za asili maana hautachukua muda utakuwa mbele ya kazi ya kiuno chako..😂
 
Nilishampata ahsanteni sana wana JF
Umeamua kujiondolea aibu kinafki! Umuajiri mtu kwa kumlipa 2K kwa siku!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ni kawaida yenu! Tena kule Kibosho na Machame!! Unakuta kijana wa watu kwenye uwanja wa shule ya Lyamungo na mvua yote, ni yeye na mabuti! Anapambania 2K na msosi anaweza apewe wa usiku tu! Mmezidi kupenda sana pesa!

Sema wadada wenu ni wazuri asikwambie mtu, ukutane na kitoto cha O level ambacho hakijafahamu kirefu cha neno MOSHI, unakichakata mbususu kwa 10K tu[emoji39][emoji39], siku zingine elfu mbili mbili hizo mnazowalipa vijana wa watu kukatia lawa!
 
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji849][emoji51] Hawa wengi flat screen za wachina. Wakienda kama wanarudi.
Hapana mkuu, wachaga wa mikoani ndo wana umbo namba moja! lakini ukikutana na kabinti ka kichaga pure, unaweza kukojoa ghafla [emoji39][emoji39][emoji23][emoji23]
 
kw
Houseboy mwenywe kujielewa anahitajika moshi
Marangu kilema
Awe na umri 20-35
Awe muaminifu ana
Awe na afya njema

Majukukumu
Kukatia majani
ngombe 1
Mbuzi 4
Kulima shambni msimu wa kilimo tu

Salary 60000 per month

Call& whatApp 0764616353
kwa hiyo mshahara ni dhahiri huu uzi wa dalali.
 
Umeamua kujiondolea aibu kinafki! Umuajiri mtu kwa kumlipa 2K kwa siku!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ni kawaida yenu! Tena kule Kibosho na Machame!! Unakuta kijana wa watu kwenye uwanja wa shule ya Lyamungo na mvua yote, ni yeye na mabuti! Anapambania 2K na msosi anaweza apewe wa usiku tu! Mmezidi kupenda sana pesa!

Sema wadada wenu ni wazuri asikwambie mtu, ukutane na kitoto cha O level ambacho hakijafahamu kirefu cha neno MOSHI, unakichakata mbususu kwa 10K tu[emoji39][emoji39], siku zingine elfu mbili mbili hizo mnazowalipa vijana wa watu kukatia lawa!
[emoji3][emoji3][emoji3]nitoe ushamba basi kirefu cha moshi ni kipi?
 
Hapo nyumbani kuna watoto wa kike??....watoto wa kike wazuri!

Nijibu haraka bosi..huenda nikahitaji hiyo kazi
 
Watu wengine mnataka vibinti vyenu vibachikwe ujauzito na ma house boy tu
 
Back
Top Bottom