Houseboy anahitajika Moshi

Houseboy anahitajika Moshi

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,893
Reaction score
5,076
Houseboy mwenywe kujielewa anahitajika moshi
Marangu kilema
Awe na umri 20-35
Awe muaminifu ana
Awe na afya njema

Majukukumu
Kukatia majani
ngombe 1
Mbuzi 4
Kulima shambni msimu wa kilimo tu

Salary 60000 per month

Call& whatApp 0764616353
 
Moshi marangu kilema hizi ni sehemu tatu tofauti. Au unataka moshi mmoja, marangu mmoja, na kilema mmoja?
 
Kwa wamarangu huyo houseboy ataona Cha moto bora ingekuwa kibosho
Hawa Marangu ni wachoyo sana hadi chakula kinaweza ozea ndani atoe kumwaga asikupe
Watu wakujiinua sana Sasa unamlipaje mtu 60000
Wewe 60000 unakula siku ngapi
Hayo si matumizi ya kawaida ya siku mbili
Hebu Marangu kuwa na huruma basi
 
Kwa wamarangu upo sahihi kabisa, zaid zaidi atakupa chai kavu tu
 
60000 ni 2000 kwa siku😂😂😂😂😂😂nganchoka tiki.

Akiamka Asubuhi saa 12 na lile baridi. Akamue maziwa akimaliza atoe mbolea.
Akatafute majani na makocha akakatie mbuzi na ngombe.
Mchana apumzike kidogo ale cha mchana. Saa tisa akatie tena majani ya ngombe. Hapo afanye shughuli za home.kupasua kuni na usafi. Na kutumwa dukani akalete nyama. Saa 12 ndo aende club akapate mbege saa moja arudi kufungia mbuzi warudi ndani na akamue tena. Saa mbili akalale.

Alafu umlipe 2000 kwa siku. Nyie wachagga wa marangu huo ni utumwa aise. Ongezeni hapo hadi 200000 niwaletee houseboy mwenye bachelor degree.
 
60000 ni 2000 kwa siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nganchoka tiki.

Akiamka Asubuhi saa 12 na lile baridi. Akamue maziwa akimaliza atoe mbolea.
Akatafute majani na makocha akakatie mbuzi na ngombe.
Mchana apumzike kidogo ale cha mchana. Saa tisa akatie tena majani ya ngombe. Hapo afanye shughuli za home.kupasua kuni na usafi. Na kutumwa dukani akalete nyama. Saa 12 ndo aende club akapate mbege saa moja arudi kufungia mbuzi warudi ndani na akamue tena. Saa mbili akalale.

Alafu umlipe 2000 kwa siku. Nyie wachagga wa marangu huo ni utumwa aise. Ongezeni hapo hadi 200000 niwaletee houseboy mwenye bachelor degree.
Umesahau na kulima kipindi cha masika [emoji3][emoji3][emoji3] Tanzania kuna watu wa Hovyo
 
Umesahau na kulima kipindi cha masika [emoji3][emoji3][emoji3] Tanzania kuna watu wa Hovyo
Na hii ndo lazima sasa. 😂😂😂😂😂😂. Uchagani kazi ni nyingi aise. Bado kufyeka mengele, kukatia matonga kwenye migomba. Bado kuchuma kahawa. Hapo pia kuna kuchimba panya buku (fuko). Uchagani vijijini kuna shughuli nyingi mno.
 
Houseboy mwenywe kujielewa anahitajika moshi
Marangu kilema
Awe na umri 20-35
Awe muaminifu ana
Awe na afya njema

Majukukumu
Kukatia majani
ngombe 1
Mbuzi 4
Kulima shambni msimu wa kilimo tu

Salary 60000 per month

Call& whatApp 0764616353
Mwenyewe unajiona bonge la mjanja umetangaza kazi😂😂😂
 
Houseboy mwenywe kujielewa anahitajika moshi
Marangu kilema
Awe na umri 20-35
Awe muaminifu ana
Awe na afya njema

Majukukumu
Kukatia majani
ngombe 1
Mbuzi 4
Kulima shambni msimu wa kilimo tu

Salary 60000 per month

Call& whatApp 0764616353
we fala nin
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], saa ingine utakuwa unapaona jf pa moto.
 
Back
Top Bottom