I am speaking from experience, it's a long story ila hakuna kinachotia hasira kama kumwona mtu anamdharau mwanadamu mwenzake just because they feel like it and think they are superior to others. And oh, just so she knows, some of us way back had to work as househelps as a means of survival ila Mungu mkubwa, somewhere along the way i found a sponsor who put me through school, and today here i am working as a sales manager. And this goes out to all the people out there, respect everyone you cross paths with coz you never know if at some point in life they will be the ones on the serving end.
ili hg awe loyal kwa baba mwenye mji shurti ulambe kwanza ila usizoee atakulelea watoto fresh na pia atakupa info za mkeo.
SABABU kubwa ya wengi kutembea na house girl ni KIPENYO au CIRCUMFERENCE
Wengi wanafeel tightness sababu vipenyo vya ni vidogo tena vinabana wanawakimbia Ma-wife maana vipenyo vimekua DILATED ambako unaingia mzima mzima na sababu zinginezo ambayo wife ndo wasababishi
Hii ndo SIRI kubwa wajameni
Well baby..... You know me well.
Very insightful post Miss Kim
Wengi wetu tuna mtazamo wa jumla jumla tu wa dharau kwa ma HG bila kujua kwamba na wao ni binadamu..sasa issue yako ni mfano hai kabisa...hapo ulipo kidume kikikutongoza uoamwambia ulishawahi kupitia iyo kazi nadhani atafunga breki kwanza
kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto
kumekucha....
Umenena kweli, binafsi nakapenda sana ka Hgirl ka nyumbani kwangu siwezi kukafanyia upuuzi huo, alafu mtu unawezaje kukaa uchi mbele ya msichana wakazi????
Umbuje bahati nzuri nimeiona hii salam ya indirect kabla mwenyewe hajanambia, hujambo? Miss u sana umbuje
Hahaha hapana hiyo kazi anaiweza lara 1 mi nimeuliza tu
Vipi kwani umbuje?
Au OLESAIDIMU amekunong'oneza kuwa status imebadilika?
Hapo umeni feed maneno,nimesema wanaume wapenda mteremko nikimaanisha wasiotaka kutongoza mtaani huko wanafata wasichana wa kazi ambao ni wadogo na wanawakubalia kwa hofu ya kupoteza kazi!!sio ujinga.... Halafu unasema wanaume wanapenda mteremko inamaana hata ww alivyokuoa ulikuwa mteremko?? Mambo mengne mnajitakia wenyew kwavile ww ni mwenye nyumba basi kilakitu unamwachia hg. Kufua nguo za mmeo,kupika, kutandika kitanda, baadae hadi awanawishe wakat ukikaa ukijua yule ni mbichi kuliko ww na anajoto kuliko ww sasa kwanini nimgegede na kumpa hadhi? Kwan mnachotofautiana na ww ni nn? Labda ndoa tu ambayo inaweza kuvunjwa mda wowote??
Mmmh unadhan angenambia? Wa kunambia ni wewe umbuje...lol