Hehehe..mnawaachia kila kitu ndani ya nyumba , mtu aanafua Hadi nguo ya ndani ya Mr, anamuekea chai, housegirl anajua Hadi Mr Yuko kwenye mood nzuri ama mbaya, anajua Mr chakula chake pendwa, anajua Mr anarud saa ngapi, anamtengea maji ya kuoga , anajua Mr hayuko sawa anatafuta namna ya kufanya atabasamu au hata kucheka, wewe hapo uko bize na simu LAKO unapangusa..watoto wakishikwa na mama wanatoa kilio, wakishikwa na housegirl wanafurahi, mbaya zaidi kama housegirl anajua kusoma na kuandika anafanya homework na watoto...mwisho wa siku kama si mr ataingia mazima kwake basi ni housegirl ..
Wewe hapo tukana sijui mwanaume ni kama mvulana sijui nini,..kumbe tatizo mwalijua ,,,HUNA TIME au sio...haya...waache wale raha...kifuatacho itv...stay tuned ..