house girl wangu anakunywa viroba

Wengi wanywao vikabali (viroba) huchangiwa sana na uhaba wa kipato .
Kwani unamlipa sh ngp per monthly ?
Kama unamlipa below laki 1 kwa mwezi ni haki yake anywe pombe hiyo.
Mi wa kwngu namlipa laki mbili per moon , so anakula Maji ya Tanzania Brewries na juzijuzi kaniomba loan anataka anunue Ka'Bajaji kake.
Nafikiria kumsaidia , nawe jitahidi kum'boreshea uone kama atakunywa za kwenye mifuko.

tehe teheh
 
Nitajie jina lake huyo house girl wako...

Huenda ni yule binti niliyemfukuza kwenye grocery yangu ya vinywaji vikali vya jumla pale Mwenge..

Anafananaje? Nipe wajihi wake... Ntakuelekeza cha kufanya...
 
Anakula ugali wa shkamoo afu anadhani ku-maintai house staff ni mchezo eeh?

Jane zero-zero-zero, mshauri mumeo anywe castle lite ili hgeli asidoee. Afu umnunulie zile pakti za power zinazimisha haraka.
Hahaha! Mke mwenza nimependa ulivomshauri, eti anamlipa elf 70'000 lol, wewe yule wako wamlipaga sh ngapi vile?
 
Anafnya kazi zake vizuri lakini anakunywa viroba.

Kwani ulikuwa unahitaji mtumwa? Mwache ajiburudishe. Si ajabu unampa mikazi tele.

Let her be.
 
Mpangilie muda wa kunywa wakti watoto wako mbali nae. Tatizo kama baba na mama mnarudi usiku mkubwa.
Na wao ni binadamu wanahitaji kuinjoi kama wewe. Pia mpe siku moja kwa wiki akatembee arudi hata kesho yake asubui ikiwezekana.
 
Ma Hg sasa hakuna tena wote ni wasanii...mabinbiti wengi wanakuja mjini kutafuta kazi, walipata kazi wanachezea wanaona kana kwamba zinawaumiza...ukimjali sana anasumbua..kama wewe hunywi na yeye anakunywa, kwa hela gani? jiulize..vinginevyo itakuwa ni hiyo hiyo ya chakula ukimwachia..chiunguza kamasi kero mwache vinginevyo timua huyo asikuharibie familia.
 
kama kazi anafanya vizuri na wewe hicho ndo muhimu kwako-hakuna haja ya kumfukuza,
mpe warning ili awe anakunywa kwa step
 
Kama kila siku unalete midume home kwako,au unaibadilisha mishemeji yake kama chupi,asipate msongo wa akili,yeye punguani?

Mwache ajinafasi kupunguza msongo unaomsababishia!
 
kaz kwel kwel atawaribu watoto bhana mrudishe kwao mwambie akiacha ulevi ndo arudi kazin ila itakuwa ulimfundisha mwenyewe na kumpa mzingira hayo hawez kuanza tu from no where
 
we jane acha kujishaua na post zako

za kizushi inawezekana wewe mwenyewe

ndo house girl, mara uko south africa mara

sijui nini
 
Back
Top Bottom