tiztizo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 285
- 226
Unaonaje ukawauliza wenye watto wa4
sio ata waliozaa..ni kwamba akishaolewa anaanza kuchuja mwenyewe,sa sijui...au dyudyu moja kila siku inawafanya muchuje au
Unaonaje ukawauliza wenye watto wa4
hapana aisee sio wote mm nisipokuambia sijaolewa uwezi jua nipo mbichiii wala sijachujasio ata waliozaa..ni kwamba akishaolewa anaanza kuchuja mwenyewe,sa sijui...au dyudyu moja kila siku inawafanya muchuje au
Kabisa yaaniKwa uzembe wa baadhi ya akina mama kila kitu kumuachia mfanyakazi ndoa nyingi zimepinduliwa 'dada wa kazi ana mipaka yke c kila kitu dada wa kaz unakuta mume anasahau hadi radha ya pishi la mkewe kwa mchezo huu dada wa kazi lzma awe first lady