House girl na mume wa boss wake

House girl na mume wa boss wake

Kazi kwao nina miaka zaidi ya 20 sijui dada ni mtaa gani. Pamoja na majukumu lakini mume kwanza. Hivi unafikiri na hizi kucha za bandia ambazo hata kudonoa simu ni shida zitaweza hata kufua face towel achilia mbali kuosha vyombo. Mmmmmh
Wewe unaweza..wenzio vipi?
 
Wewe unaweza..wenzio vipi?
Kazi kwao. Kila mtu anakipaumbele chake. Lakini dada wa nini wakati unapashwa kymuandalia mumeo. Nakumbuka hata Mengi alimsifia mkewe kuwa yeye anafua kwa mkono wake nguo zake pamoja na kuwa na washer. Wito wangu kwa wamama wenzangu tuwatunze waume wetu.
 
Mungu akulinde usije badilika mbeleni...
 
Mkuu jangala unajisikia raha ( satisfied) kuona mumeo ni nadhifu na huo unadhifu umeufanya wewe. Kuna vipindi vingi redioni vinafundisha haya mambo. Nafikiri radio imaan kuna kipindi kuanzia 5 usiku. Very educative.
 
Wewe ushindwe...mimi sio mwanamke.....halafu wewe..
 
Ameen ninachoomba ni uzima. Ila mdada si kwangu. Nashukuru kwani hata wanangu wahajui dada ni mtaa gani.
Hahaaa...una maneno ww...eti dada ni mtaa gani.
 
Hapo anampandisha tu cheo housegirl, nadhani wanawake wanaelewa housegirl akipanda cheo anakua nani......
 
Hivi kwani mwanamme wa Kitanzania anataka mke au mtumwa?
 
Huyo mother house ni jipu..tena jipu la kwapa
 
Back
Top Bottom