House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

Hivi mwanaume unaanzaje kufuliwa hadi boxer na mkeo?

Unakuwa na ukoma au?
 
Kama mkeo umemnunulia gari nakushauri uza iyo gari kanunue mashine ya kufulia utapunguza pressure ya mfanyakazi mana na kazi zikizidi mfanyakazi nae binadamu lazima siku utakuta mwanao ameputwa shimo la choo
 
Binafsi hata nguo tu za kawaida tu kufuliwa na mtu, no mattter who she is to me bado naona sana.
 
Back
Top Bottom